Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Kwa kina Eliza unapata huduma nzuri kutokana na urefu wa kamba yako.
Alafu kule vile vile unapata huduma muhimu ambazo ww nyumbani katu hutoweza nipa ni sehemu 1 tu naweza pata.
Mambo ya express your self.

kabla ya kufikiria kupewa.... kwa taarifa yako, wanaume wanaowapenda/wajali wake zao hawaombi hiyo kitu nyumbani wataenda huko huko vichochoroni,
 
kabla ya kufikiria kupewa.... kwa taarifa yako, wanaume wanaowapenda/wajali wake zao hawaombi hiyo kitu nyumbani wataenda huko huko vichochoroni,

Yeah ndo maana wanawake wanao wapenda waume zao akisikia mme wake ana kanyumba kadogo wala hashtuki siku hizi anajua anafuata huduma ya express your self ambayo kwake neti weki haisomi kabisaaaaaaaa
 
haaa huyu kichaa wangu nikimpa bht leo kesho asubuhi atamrudisha, tunawezana wenyewe na ndio mana tupo mpaka leo hii mapenzi yapo na cku zinasonga.

hahaaa dearest kuna vitu vingi sana huwa nahis mimi na wewe hatutofautiani, sasa ukinipa anaweza asione tofauti lol!!!

Siku inabidi umpe darasa huyo juu ya kushikamana hata kama anakidonda lazima awe NGUNGURI.

mmmh Fide mi nilishafeli, labda anisaidie nipate ku-clear supplimentaries tu

umeonaa eeh, ukiingia kwenye game uwe ngangari dearest, c unaona jibu la chris hapo?

dah hii game inahitaji usugu kwa kweli vinginevyo unaotoka kabla ya dk 90, sasa sijui inakuwaje hapo!!!
 
wapi pameongelewa kumwekea mtego, hu muda ninao bac...kuna njia/mambo mengi ya kujua rafu zinazoendelea.

Pale ulipomtahadharisha kuwa afanye afanyayo lakini usimfumanie. Mimi nilidhani kama hujali afanyayo hutasumbuka pia kumfumania. Na wanaofanya vya wizi huwezi kuwafumania unless umedhamiria kwa mtego kabisa, au yeye awe na makusudi ya kukuonyeshea.
 
Swala c kumchunga ; hapo unapodiriki kusema hujali...eeer napata shida napo

kuna mtu hamjali mpenzi/baba watoto wake? kujali najali sana tena sana lakini ctojali/ hic naibiwa nikaliweka kichwani liniumize, ni mpaka nifume, cjui tupo sambamba kaka.
 
napenda changizo za Nyamayao jamani...
 
Possible since it has become a 5th basic need, among previously common basic needs!
 
Back
Top Bottom