Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Tena nyie ndow wabaya mkishakuja kuwekwa ndani! Mkiwa sing... mnajidai kutuachia bila hiyana; kibao mnakibadilisha mkishasajili timu!
Aka mie nitatulia tuli kama nanyolewa MJ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena nyie ndow wabaya mkishakuja kuwekwa ndani! Mkiwa sing... mnajidai kutuachia bila hiyana; kibao mnakibadilisha mkishasajili timu!
Siku inabidi umpe darasa huyo juu ya kushikamana hata kama anakidonda lazima awe NGUNGURI.
Kwa kina Eliza unapata huduma nzuri kutokana na urefu wa kamba yako.
Alafu kule vile vile unapata huduma muhimu ambazo ww nyumbani katu hutoweza nipa ni sehemu 1 tu naweza pata.
Mambo ya express your self.
kabla ya kufikiria kupewa.... kwa taarifa yako, wanaume wanaowapenda/wajali wake zao hawaombi hiyo kitu nyumbani wataenda huko huko vichochoroni,
haaa huyu kichaa wangu nikimpa bht leo kesho asubuhi atamrudisha, tunawezana wenyewe na ndio mana tupo mpaka leo hii mapenzi yapo na cku zinasonga.
Siku inabidi umpe darasa huyo juu ya kushikamana hata kama anakidonda lazima awe NGUNGURI.
umeonaa eeh, ukiingia kwenye game uwe ngangari dearest, c unaona jibu la chris hapo?
hahaaa dearest kuna vitu vingi sana huwa nahis mimi na wewe hatutofautiani, sasa ukinipa anaweza asione tofauti lol!!!
haaa, hapo sassa! tupo pa1 dearest.
wapi pameongelewa kumwekea mtego, hu muda ninao bac...kuna njia/mambo mengi ya kujua rafu zinazoendelea.
Sex is overrated anyway...
kumoyo kabisa, nipo town kazini, yeye south b, nikae niwaze nitoke ofcn nikamchunge mtu mzima kwamba naibiwa?...jamani!
Aka mie nitatulia tuli kama nanyolewa MJ.
labda akakanyaga miyawa jee! mke kamuua mumewe hapo na familia ya mume walitakiwa wam sue mwanamke 😀
Swala c kumchunga ; hapo unapodiriki kusema hujali...eeer napata shida napo
Mie huwa hata sielewi hii mambo inavyokwenda-
ukimaanisha kuna mtu unamnyima ama> wataka afe?:rolleyez:
Hahaha mpwa kuna n'tu hatendewi haki nyuma ya pazia.
Binamu nani kathibitisha??? hizi porojo hizi.
Binamu nani kathibitisha??? hizi porojo hizi.