Kumnyonya mwanamke matiti ni Tiba/Dawa ya Saratani ya matiti?

Kumnyonya mwanamke matiti ni Tiba/Dawa ya Saratani ya matiti?

Mimi ni daktari na naisuport sana hyo kitu ndo maana tunaroa ushauri kwa mama kumnyonyesha mtoto wake kwa at least mwaka mmoja
Kama kuna swali nakaribisha
NA KAMA UNASEMA HAKUNA THESIS ZILIFANYIKA TUKAZISOMA NJOO NIIONYESHE USHAIDI WA KUPINGA KWAKO UKITUMIA HATA HYO MAANDIKO MATAKATIFU KWASABABU KOTE MIMI NIKO SAWA
Ma dr waga tunatoa ufafanuz mzur na istoshee skuiz wataft ni weng nakuombaa unipee Taft yako apo kunahusiano gan ya kunyonya matit na cancer???
 
"Nikiwa kama Mtumishi wa Mungu ningependa kutoa taarifa kuwa ""huo ni uzushi na ni mpango wa kuzimu katika kuongeza wimbi la ukahaba."

Na nyie mnaojiita sijui walokole, au watakatifu, kuna wakati mnaboa kweli! sasa hilo nalo ni suala la kusema ni mpango wa kuzimu...
 
Ma dr waga tunatoa ufafanuz mzur na istoshee skuiz wataft ni weng nakuombaa unipee Taft yako apo kunahusiano gan ya kunyonya matit na cancer???
Angalia post zangu zote nimeshatoa (posts ya nyuma kwenye hii thread)
 
Ma dr waga tunatoa ufafanuz mzur na istoshee skuiz wataft ni weng nakuombaa unipee Taft yako apo kunahusiano gan ya kunyonya matit na cancer???
MTU hujaelewa hapa..... Kitendo cha kukubali dhana kuwa ukiwa unanyonya maziwa ya mwanamke eti kuwa unampunguzia au unamuepusha Saratani basis huku ni kuabudu sanamu ni sawa na kuvunja amri ya kwanza kidini... Usiseme hujui iko HV sanamu sio lazima kitu kilichochingwa Bali hata kuhamisha imani yako kwa Mungu na kuiweka kwenye hali ambayo siyo ya kiMungu.

Kitendo cha kuamin na kufanya hv tayari unakiri ya kuwa hili jambo ni uokozi Wa mkeo hivyo unatoa imani yako kwa Mungu Wa kweli na kwa Kristo mponyaji unaipeleka kwa hisia za kiimani za kisayansi na hapa ni sawa na kumshusha thamani Mungu anayekurinda na kukutimizia shida zako ukimuomba. Ndio maana Mtumishi anasema kama ni mpnz tu kwa mkeo basis uwe na imani kwamba unafanya kama sehemu ya mpnz tu kwa mkeo lakin usiamini kuwa unafanya kwa ajiri ya matibabu. Naungana naye kwa Mimi na wewe tujiulize swali hili. Ikiwa kile kitendo ni kumfanya mwanamke asipate saratani basi ukiwa unamnyonya ujue wewe unayenyonya utakuwa unanyonya ugonywa kama sio ili isiwepo lazima kuwe na antitodi ya kuponesha kama ni mdomo tu je utawezaje kuleta uponyaji au uepushaji Wa saratani hiyo?
Mungu aliumba binadamu akamfanya kuwa kiumbo bora kuliko vyote pamoja..na kumuumba hvoo akampa pumzi ya uhai, mishipa ya damu maji yazungukayo mwilini kuweza kumsuport na kuregulate pia akaumba mifumo mbalimbali ili mwanadamu aweze kuongozwa nayo.

kwa mfano mfumo wa fahamu (uhusika na ufahamu wote wa mwanadamu ukihusisha ubongo na mishipa ya fahamu) mfumo wa mkojo, mfumo wa damu, mfumo wa uzazi, na mfumo wa homoni....

Mifumo hio ufanya kazi kwa kutegemeana inategemea na tunazungumzia mfumo upi kwa hapo tutazungumzia mifumo miwili mfumo wa fahamu,na mfumo wa hormone
Tukija ugonjwa wenyew kansa inasababishwa mara nyingi na ostrogen link naposema hvo namaanisha kwamba mara nyingi kansa inatokea pole ambapo ostrogen inapojaa mwilini sana bila kupata balance na homone pinzani yake iitwayo progestorene hvo bhasi wnawake wengi wenye hisyoria ya kupata kansa wengi ni wazee kwasababu wanakuwa na mgawanyiko mbaya wa ostrogen.

Kwanini tuseme kuwa kunyonya maziwa kunapunguza risk ya kwansa..
Kwanza unapomnyonya (au mtoti anapomyonya mama maziwa) mwanamke maziwa unasisimua hormone iitwayo lactatin hormone kwenye gland zilizopo kweny matiti ya mama hvo kupelekea kuongezwa kwa homon iitwayo lactin kwenye damu inayofany sehemu ya nyuma ya hypothalus iliyo na gland iitwayo pituitary kutoa hormony nyingi iitwwyo prostaglandn ivo kufany utoaji mwingi wa homone mbili ambazo ni L. H na FSH hvo kufanya kufikia ubalanse mkubwa wa hormone pinzani za oestrogen na progestorene kugmfanya kazi vzuri na kuweza kuzuia kansa.....

NB:KUMBUKA USIONGELEE SCIENCE KWA LENGO LA KUPOTOSHA WAKATI HUJUI CHOCHOTE KUHUSU SCIENCE NA PIA KUHUSU BIBLIA OVER
 
Tunauza dawa za kansa /saratani za aina zote kwa mfano kansa /saratani zifuatazo:-
Kansa ya Ngozi, Kansa ya mapafu (Lungs Cancer), Kansa ya utumbo (Colon Cancer), Leukemia (kansa ya damu), kansa ya mifupa (Bone Cancer), kansa ya matiti (breast cancer), Kansa ya tezi dume (Prostate cancer), kansa za kizazi kama ovarian cancer,kansa ya kibofu, Uterine Cancer. etc.

Dawa ya kansa / Saratani ni B-17 kama inavyoonekana kwenye Picha, na dawa hiyo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1. utapewa B-17 kopo mbili
2. Utapewa pia na Zinc Mineral supplement kopo 1. (Special sio zile wanazotumia hospitalini hizi za tiba mbadala)
3. ila utaongezea wewe vitamin mbili tu utaelekezwa,

Pia utapewa menu (Nutrition / diet)
1. itakuelekeza vyakula gani usitumie na sababu zake kwa nini usitumie na muda wa kutovitumia mpaka utakapopona., inamaanisha baada ya kupona unaweza kuvitumia tena.
2. Vyakula ambavyo ni muhimu kutumia wakati unatumia dawa / kipindi chote utakachotumia dawa.
>>>
Dawa ya B-17
inaongeza appetite ya kula, ina regulate blood pressure, pia unapunguza cell za kansa na kuziondoa kabisa.
Contact hii ili kuzipata: +447456171773 au+255787291773
 
Back
Top Bottom