luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna maendeleo ya huo mchezo.
Waswahili husema kijiji bila wazee hakuna baraka lkn sio kwa vitendo vya kikongwe huyu ambae kwa sasa anaalikwa hadi ktk redio ambapo anaongea vitu ambavyo havina mantiki na sio vya msingi.
Naomba niwape pole wale wote wanao amini ushirikina ktk soka