Kumpa millage Mzee Mpili naona sawa na kuukubali upuuzi/ ulimbukeni

Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna maendeleo ya huo mchezo.

Waswahili husema kijiji bila wazee hakuna baraka lkn sio kwa vitendo vya kikongwe huyu ambae kwa sasa anaalikwa hadi ktk redio ambapo anaongea vitu ambavyo havina mantiki na sio vya msingi.

Naomba niwape pole wale wote wanao amini ushirikina ktk soka
Mzee Mpili angekuwa ni baba yako, je ungekuja na uzi huu?
 
Uyo mzee ni mjinga kabisa na ana akisi ujinga wa watanzania wengi
 
Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna maendeleo ya huo mchezo.

Waswahili husema kijiji bila wazee hakuna baraka lkn sio kwa vitendo vya kikongwe huyu ambae kwa sasa anaalikwa hadi ktk redio ambapo anaongea vitu ambavyo havina mantiki na sio vya msingi.

Naomba niwape pole wale wote wanao amini ushirikina ktk soka
Live your life
 
Mzee Mpili naomba kazi iendeleeee
Ameshatuma watu wake na kazi imekwisha tayari.
20210706_120259.jpg
 
Mzee mpili wanasimba wana muogopa hatari....kashasema kigoma shughuli kashaimaliza🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom