Kumpa millage Mzee Mpili naona sawa na kuukubali upuuzi/ ulimbukeni

Kumpa millage Mzee Mpili naona sawa na kuukubali upuuzi/ ulimbukeni

IMG_3775.jpg
 
Yaani ka takataka ndio kanafanywa icon ya mpira wetu. Upuuzi kabisa. Waandishi habari way Tanzania wapumbavu sana.
 
Mzee huyu bwana,katuaibisha Sana huko town Kuna vitu anaongea aibu napata mimi

Sijui Wana Rufiji wanamchukuliaje
 
Wazee(wakina Mpili) wanajua njia,

Vijana wanajua kukimbia,

"Kigoma tunaenda kupiga kwenye mshono", Sauti ya mzee mmoja ilisikika ikitokea kwenye Banda la kahawa.
 
Back
Top Bottom