luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
FACTSimba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu nyingine yoyote Tanzania kabla ya umaarufu wa Mpili.
Sure, utani wa jadi lazima kuwe na kitu katikati kitakachokuwa kinachagiza utani wetuSimba msimuwekee chuki huyu mzee wa watu ni mchekeshaji tu baina ya watani wa jadi.
Huyu Mzee Kama Marehemu Doctor Shika. Ananunua Nyumba Za Said Lugumi Kumbe Hana Cash. ππ ππππππππAisee.
ππ πππππTuna entertain ujinga ujinga sana huku kwetu ya kina piere huku kina shika.
Vitu vya msingi huwa tunavipita kama hatuelewi nini kinaendelea.ππ πππππ
Nchi Ngumu Sana
Yaani Mpaka Aibu
Ndo mtajua hamjui, na ninyi tafuteni mtu wenu wa kumpa promoVitu vya msingi huwa tunavipita kama hatuelewi nini kinaendelea.