F fisi 2 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 3,280 Reaction score 4,645 Jul 7, 2021 #42 Yaani ka takataka ndio kanafanywa icon ya mpira wetu. Upuuzi kabisa. Waandishi habari way Tanzania wapumbavu sana.
Yaani ka takataka ndio kanafanywa icon ya mpira wetu. Upuuzi kabisa. Waandishi habari way Tanzania wapumbavu sana.
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,314 Reaction score 5,150 Jul 7, 2021 #43 Mzee huyu bwana,katuaibisha Sana huko town Kuna vitu anaongea aibu napata mimi Sijui Wana Rufiji wanamchukuliaje
Mzee huyu bwana,katuaibisha Sana huko town Kuna vitu anaongea aibu napata mimi Sijui Wana Rufiji wanamchukuliaje
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Jul 8, 2021 #44 DellaPina said: View attachment 1845275 Click to expand... Si keshapata ule mzigo toka kwa Manara aliosema akale na bibi yake Manara!! Yawezekana huyu ndiye bibi yake Manara Your browser is not able to display this video.
DellaPina said: View attachment 1845275 Click to expand... Si keshapata ule mzigo toka kwa Manara aliosema akale na bibi yake Manara!! Yawezekana huyu ndiye bibi yake Manara Your browser is not able to display this video.
NAJYUZ JF-Expert Member Joined May 10, 2021 Posts 1,981 Reaction score 3,475 Jul 8, 2021 #45 Wazee(wakina Mpili) wanajua njia, Vijana wanajua kukimbia, "Kigoma tunaenda kupiga kwenye mshono", Sauti ya mzee mmoja ilisikika ikitokea kwenye Banda la kahawa.
Wazee(wakina Mpili) wanajua njia, Vijana wanajua kukimbia, "Kigoma tunaenda kupiga kwenye mshono", Sauti ya mzee mmoja ilisikika ikitokea kwenye Banda la kahawa.