Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!
Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).
Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
Haya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendiHahahahh mkuu hata matukio ya ndugu huendi kabisa?mie kuna baadhi ya matukio ya watu wa karibu lazima niende hata kama sipendi.....usipoenda unawaambiaje?
Kwenda kwenye misiba ni jambo la msingi nafikiri
Loh!poleeeeHaya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendi
Haya mambo yamenipita kushoto, akili yangu hua inayatafsiri kama ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikitokea ulazima haswa wa kwenda sinabudi ila sikai, nusu saa jingi sipo, nikijua wazee watakuwepo ndio kabisaa siendi
vipi mzee.. umepata chakula kweli? unavamiaje mtu usiemjua hivyo?
Bint mchonganishi sana wewe, hizo kauli zako za 'eti eti' unanikumbusha habari za shetani pale bustanini Eden😀😀Don Clericuzio ,Ruttashobolwa anasema eti urudi kusoma alichoandika,eti kiko wazi na alichoshauri
Wasalaam!
Wana jamvi habari njema ni kwamba sanaa yetu imezidi kuchanja mbunga na kwa sasa muziki unalipa sana tena sana pamoja na kuwepo kwa madalali qengi!
Zuchu ni msanii mpya ndani ya WCB lakini ukuwaji wake umekuwa wa kasi sana ukilinganisha na wasanii wenzie wakina Lava Lava na Queen Doreen ambao kwangu mimi naona wamekuwa kama wafanyakazi hewa!
Hivi karibuni baada ya kufanya show yake kubwa pale Mlimanicity meneja wake Salam ametangaza bei ambayo atakuwa anatozwa mtu au kampuni au watu wanao mtaka Zuchu a.k. Chuchu kwenye show kiasi cha Tsh Million 20 za kitanzania!
Hivyo ni kwa sasa ukimtaka Zuchu itakubidi utoe Million 20!
Lakini sisi tunashauri Zuchu aendelee kuboresha ubora wa show zake ili azidi kuwakonga mashabiki wasione wanaibiwa hela zao!uView attachment 1524100
Hivi zuchu ana hit song ?
Tuanzie hapo kwanza.
Hahahaha, dah kumbe wengine tu hatumjui ,na hivi mm na muziki tofautiIla zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake
Hahahaha anakuja kusema kaibiwa, halafu raia humu wanaanza tena lawamaKatika hiyo milioni 20, kato la Diamond ni asilimia ngapi?
Isije kuwa binti wa watu anakuwa exploited kupitiliza...halafu baadaye akili zikimjia na kustukia gemu, bifu linaanza.
Wabongo bana mtu akiwa kinyume na mtazamo wako mnasema ana roho mbaya.Ukisikia janamke lenye roho ya korosho kwa wanawake wenzake, ndio wewe sasa!
Its obvious Zuchu ana umri mdogo kuliko wewe, amekupiga gape karibu kila kitu... Fame! Life insurance! Money (ongoing event).
Acha roho ya kinafiki wewe mama maskini. Ukiona unachukia maendeleo ya mwenzako wewe ni masikini kuliko yeye.
Waache upumbavuHahahaha, dah kumbe wengine tu hatumjui ,na hivi mm na muziki tofauti
Nina mkataba wao mmoja hiyo bei ambayo walitaka ili waje Lubumbashi ,mmmmh
HahahahaKwenye hiyo milion 20 Mgawanyo uko hivi
1. WCB Management ina mgao wake
2. Manager Wake ana mgao wake
3. Aliemuungia WCB ana mgao wake kwa kila show ( Kama ilivyo kwa Lavalava Kuna mgao wa Babu tale ndio alimuungia wcb kutokea tiptop connection.... Au kwa Mboso Kuna mgao wa Said fella maana ndio alimuungia WCB kutokea Yamoto Band)... Kwasasa sijajua Nani alimuungia zuchu WCB )
4. Kuna gharama za show ( Mavazi, usafiri , chakula na gharama za team nzima , hotel n.k)
6. Bado hujaweka gharama zingine Kama income tax ya serikali n.k
KINACHOBAKI NDIO ANAPEWA MSANII. HAPO wcb rich mavoko amewahi kupewa laki 8 baada ya kupiga show Mombasa.
Sasa Nyie mlioko Manzese au mikoani huko kazi kusifia hamjui lolote tunawaangalia tunaishia kusema iiiiiiiiiiiiiii Bhagooooosha