Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

Kwa bei hii na msambwanda unapata?
 
Ila zuchu mnamuoverate Sana .alafu Bahati mbaya mie hata wimbo mmoja sijaupenda..anaimba kimahadhi ya mwambao wa pwani saana ..zuchu hamfikii
Ruby,vanessa,Mimi Mars etc .kifupi anaimba flat saaana!
Anywys kila la heri kwake
Kwahy kuimba maadhi ya pwani ndio sababu? Unafurahisha sana
 
We Ni mbuzi kweli, sa msanii gani yupo chini ya label alafu awe anamiliki hizo account. Alafu unajifanya unawajua kumbe kiazi tu
 
We jamaa muongo sana[emoji3],

unajifanya unayajua maisha ya WCB kumbe hamna ki2 chochote.Nimeshangaa kweli unaongelea swala la label kumiliki YouTube account ya msanii as if Ni uonevu, utadhani Ni WCB pekee ndio wanafanya hivo.
Kama unamjua killy huyu aliehamia kwa harmonize alikuwa anamenejiwa na Nisher kabla hajaenda Kings, Kuna nyimbo yake inaitwa "Rudi" nenda YouTube kaangalie ipo kwenye account ya Nani? Tena angalau siku hizi wanaandika na majina Yao zamani walikuwa wanaandika jina la label.
Mfano mwingine Kama unamfahamu Saida Karoli yule muhaya anaeimba nyimbo za kikabila alikuwa anamenejiwa na Ruge mutahaba na meneja mwingne nimemsahau jina Kama unakumbuka kipindi diamond anatoa Ile nyimbo ya Salome Saida Karoli hakupata hata Senti moja, kazi alizofanya zilikuwa chini ya ruge na huyo meneja mwingne.
Nadhani Michael Jackson unamfahamu vzr kabisa, kazi zake zote alizowahi kufanya zipo chini ya label yake sa nakushangaa Sana unavyo lament label kumiliki YouTube kazi za msanii wasanii wake.

Ki2 Cha pili ulichotudanganya eti wasanii wa WCB wanalipiwa kila ki2 kuanzia Kodi ya nyumba,magari wanayonunua Cha ajabu Hadi hela ya matumizi daah[emoji3], yaani hata shopping wanalipiwa? Na umekazia kwamba wotee wamepanga na wanalipiwa Kodi za nyumba baadae watakatwa, hapo hapo ukasema harmonize alikuwa anamiliki nyumba zake sa alizinunua kwa hela gani Kama sio uongo?
 
Bora nikaangalie karioke ya Ruby kuliko back play ya zuchu sipendi zile kauli za wasanii tunaimba wote pumbuv uimbe na nani kakwambia nani najua kuimba vp tutagawana hela msaani nifanye,nionesha nimekupunja kiingilio
Haha.
 
Endelea kuwadanganya tu[emoji3]
 
Yaani ww[emoji3], tangu ujue kwamba YouTube account za wasanii wa WCB zinamilikiwa na label imekuwa shida Sasa, ndio ilivo hivo sio WCB label zote duniani.tena harmonize alikuwa anajiita amonaizi ndio wakamrekebishia jina[emoji28]
 
Unaona ulivyo muongo yaani mpk shopping unalipiwa kwa mwezi kwahy wenyewe hawalipwi Sasa Ila wanahifadhiwa Kama ng'ombe tu[emoji28]
 
Ccm in a hela kwahiyo wote wanalipwa mihela kama zooci ni20m Mondi ngapi, kiba ngapi harmony yane haya jamani tw3ndeni tukaimbe
 
Sallam Sharaf,amefanya tathmini ameona hiyo ndio thamani ya brand yake
kazi ipo kwa wateja,humu ni kijiweni tu tuna mabando tu
 

Baada ya miaka mitano kupita jina la Zuchu litatumika kuashiria msanii asiye na uwezo lakini anawika kama ilivyokuwa kwa mwanamuziki Juma β€˜Kilaza’
 
Hajafikisha hata shoo kumi huyu mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…