Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mkuu, ajali ya ndege ya Precision Air ambayo ililazimika kutua kwa dharura katika ziwa Victoria, iliambatana na changamoto kubwa ya ukoaji wa abiria waliokuwa ndani yale. Hii inatokana na vifaa duni vilivyokuwepo katika eneo husika.
Hakukuwa na namna zaidi ya wavuvi waliokuwapo kutoa msaada wa uokoaji. Ushujaa wa bwana mdogo Majaliwa ndipo hapo ulipo thibitika.
Kile kitemdo cha uthubutu na ushujaa wake wa kupiga mbizi na kwenda kuvunja mlango wa ndege, hali iliyopelekea zaidi ya abiria 20 kuokolewa ni kitu kinachostahili pongezi na kuthaminiwa kitaifa.
Mbona tunaona katika picha uwepo wa askari katika eneo husika, na ambao walishindwa kufanya kitendo kama chake, ama kuthubutu kwenda kuungana naye katika zoezi la uokoaji majini!?
Suala la uwepo wa athari katika jamii kutokana na matendo ya vibaka, majambazi, udangaji, matumizi ya madawa ya kulevya na uhalifu wa aina yoyote ile, si ya dharura. Hilo ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama. Ukiyaona yanatamalaki basi tambua vyombo husika haviwajibiki ipasavyo, ama la, navyo ni sehemu ya wanufaika wakuu wa matendo hayo ya kiovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukumu la kuokoa sio la zima koto? Polisi marine n.k?Mkuu, ajali ya ndege ya Precision Air ambayo ililazimika kutua kwa dharura katika ziwa Victoria, iliambatana na changamoto kubwa ya ukoaji wa abiria waliokuwa ndani yale. Hii inatokana na vifaa duni vilivyokuwepo katika eneo husika.
Hakukuwa na namna zaidi ya wavuvi waliokuwapo kutoa msaada wa uokoaji. Ushujaa wa bwana mdogo Majaliwa ndipo hapo ulipo thibitika.
Kile kitemdo cha uthubutu na ushujaa wake wa kupiga mbizi na kwenda kuvunja mlango wa ndege, hali iliyopelekea zaidi ya abiria 20 kuokolewa ni kitu kinachostahili pongezi na kuthaminiwa kitaifa.
Mbona tunaona katika picha uwepo wa askari katika eneo husika, na ambao walishindwa kufanya kitendo kama chake, ama kuthubutu kwenda kuungana naye katika zoezi la uokoaji majini!?
Suala la uwepo wa athari katika jamii kutokana na matendo ya vibaka, majambazi, udangaji, matumizi ya madawa ya kulevya na uhalifu wa aina yoyote ile, si ya dharura. Hilo ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama. Ukiyaona yanatamalaki basi tambua vyombo husika haviwajibiki ipasavyo, ama la, navyo ni sehemu ya wanufaika wakuu wa matendo hayo ya kiovu.
Kampe papuchi sasaKwani kapelekwa bungeni kama suluhu ya maisha ya mtanzania!?
Mimi nadhani majaliwa anastahili anavyofanyiwa na zaidi kwa kile alichofanya. Kijana jasiri, mwenye upendo na hamasa kwa jamii
Kampe papuchi sasa
Labda haukojoi ukipigwa hukojoiYaani wewe Kwako pupuchi ndio kila kitu๐ค Ukiachilia mbali hicho kiungo ulishajiuliza uliletwa duniani kuja kufanya nini๐๐๐
Shtuka ndugu, hakuna anayekumbukwaga kwenye historia ya familia, ukoo, taifa wala dunia kwa kuchakata pupuchi๐๐๐
Mjumbe: what are you saying? Wamekufa Watanzania, that are dead, watu 19. Wewe unataka tumehuru itazia pilot asione gizani? Huna huruma?Hii yote ni kuficha aibu na fedheha. Jamii Itasahau, tutaenda ukurasa mwingine.
Labda haukojoi ukipigwa hukojoi
Akili za namna hii ndio utegemee nchi kuendelea.Acha wivu, mwenzetu kapata bahati na Neema kwa njia hiyo, sasa ya nini umtolee mfano? Majaliwa amajaliwa itoshe tu kusema bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi