Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

Ok
 
wapo wengi tu wanaokumbukwa kwa kuchakata papuchi e.g. Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga ambaye anakumbukwa kuchakata papuchi hadi akamuuwa waziri wake na kisha Kumuoa mke wake au hujui? papuchi ni dili weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Zikasaidia nini kwa nchi zao na dunia!?
 
Swala hapa sio dogo kuokoa watu, maana hakua peke yake, swala walitaka kutengeneza story na kuikuza ila kufunika Mambo mengine ya msingi katika Taifa hili, ni bahati mbaya Sana mpango wao umebuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…