Kumpeleka mtoto shule yenye ada kubwa ni kupoteza tu hela

Si kila mtu ana mtoto wake?
Mpeleke unapoweza mkuu. Mimi Mtoto wangu hatasoma shule ya serikali yangu kwa level ya sekondary.
 
Ni umasikini tu mkuu, sidhani kama kuna mzazi mwenye pesa asiyependa mtoto/watoto wake kusoma katika mazingira mazuri na rafiki kwa taaluma. Hasa kwa kipindi hiki cha sasa.

Saw kaka
 

Haya
 
Tutanatofautiana malengo mkuu,
Ningekuwa na hela ningempeleka akasome hayo mashule ya Ada 70M/yr ili aoate network na vyuo nampeleka mamtoni pia,

Akimaliza vyote namkabidhi 2B aanze maisha.
Mleta mada ana hasira na maisha ya watu wengine
 

Jitahidi ulipe ada ya watu headmaster hatokuelewa kwa hizi porojo zako ndugu mzazi
 
Kutunza pesa hata ifike million Mia moja haitamsaidia graduate kama Hana Hoby na kipawa cha entrepreneurship. Hapa labda Kwa wazazi wajasiliamali wanaweza kuanza kuwazoesha watoto wao kwenye ujasiliamali ili wakigraduate waendelee na hizo business. Kuna wengine wanapenda kutoka Rohoni issue za kuajiriwa tuu sio kujiajiri. Kuna wenye mitaji wapo kwenye Ajira na hawaachii Ajira
 
Hakuna kukata tamaa ndugu utajuaje yawezekana mwanao au wewe ni mmoja wa wataokapata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…