Wakati anapiga picha nilikua ofisini tuu sio labda sehemu hatarishi
Ingebidi utoe hoja yako siku ile ile mliyofanya kikao. Kuendelea na hilo swala baada ya kikao, haitakua jambo zuri kwako. Endelea kuchapa kazi ila unaweza kwenda kwa Meneja rasilimali watu kumueleza kua kitendo cha picha yako kusambazwa kilikudhalilisha then yeye ndio atazungumza na huyo mzungu!Asante Sana tumemaliza tumefanya km counseling,, lakn yule mzungu aliprint picha akabandika Kila mahali je hapo naweza kuchukua hatua gani? Je sio udhalilishaji?
Nimemuandikia barua mwajiri kuomba ufafanuzi Kama NI haki kubandika picha kwamba yeyote tu anaweza kufanya? Na Kama sio haki nimemtaka mwajiri atoe ruhusa ya kuziondoa izo picha. Barua nimeipitishia kwa katibu chama Cha wafanyakazi wa hapa. Je hapo nimefanya sahihi? Lakn Kama nikiripoti polisi au mahakaman kwamba nimedhalilishwa je si Nina haki? Au Kama alivyotuma WhatsApp na ushaidi ninao je cwezi kulipeleka polisi?Ingebidi utoe hoja yako siku ile ile mliyofanya kikao. Kuendelea na hilo swala baada ya kikao, haitakua jambo zuri kwako. Endelea kuchapa kazi ila unaweza kwenda kwa Meneja rasilimali watu kumueleza kua kitendo cha picha yako kusambazwa kilikudhalilisha then yeye ndio atazungumza na huyo mzungu!
Nilikua ofisini kwangu nimekaa nikasinzia yeye aliingia kwa Siri akapiga picha bila hata kuniambia na akaanza kuwatumia viongozi wengine