Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada.
Lema ameamua kurudi kwa sababu anazojua yeye huenda huko alipo wememchoka n.k. lema ameamua kurudi kwa style ya aina yake ya kupatiwa mapokezi.
Sina tabu na yote hayo, tabu yangu ni kwa nn watu wachangishwe kumpokea Lema? Hii michango ni kwa ajili ya nini? Kwa nn chadema wanakubali kudhalilika hivi? Huu sio utapeli?