Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Soma tena nilichoandikaKwani umelazimishwa kuchangia?
Mbona Sisi tumechanga 150,000 kwenda kuishangilia Makolo FC kule Uganda!
Anayeteseka ni yule anayechangishwaMnateseka sana!!!!
Kutwa kucha mnalalamikia ugumu wa maisha!!! Halafu mkibahatisha vijisenti Wajanja wanavikusanya. Ndo maana viongozi wenu wanakesha Bar.Mnateseka sana!!!!
Tunawaambiaga hiki chama cha wachaga mazuzu hayaelewi. Lema alienda nje baada ya kukosa ubunge, nani amuue Lema ana nini nchi hii, muhuni tu.Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada....