KUMRADHI: Mkutano wa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Shaka Hamdu Shaka na Waandishi wa Habari umeahirishwa

Amekimbia baada ya kusikia upinzani nao wanakiwasha leo na waandishi wa habari.

Akaona kesho atakosa headline atasomwa kwenye kurasa za katikati.
 
Wamescan speech wakagundua agenda ni yaleyale ya zaeni mjaze nchi
Mi nadhani shaka alipanga kumjibu mnyika,, wakaona haina haja,, aongee akichoka atalalašŸ˜‚
 
Hii Mizenji imepaswa kuachwa irudi kwao. Tunaiendeleza ya nini?
 
Jumapili ni siku ya kujichubua, mashaka yuko busy anapaka mascara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…