Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

-Chama makini kama CHADEMA kingekuwa na mbunge kama Lusinde lazima angetimuliwa toka chamani kuonyesha kuwa chama hakiafiki maneno aliyetoa Lusinde
- Hii ni changamoto kwa Tume ya Uchaguzi, Jeshi La Polisi na vyama vyote vya siasa kukataa kwa kauli moja aina hii ya mbunge kama Lusinde
- Lusinde anastahili kabisa kushitakiwa kwa kutoa lugha ya matusi ktk kadamnasi ya watu wa aina mbalimbali ikiwemo watoto wadogo.

 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa aliwapigia magoti watoto wa shule ya msingi akiomba kura.

Leo mbogo.

Si hasa.
 
Na ndicho dunia nzima inajua na kuuliza,hapo kuna tusi gani?
Mkapa hakutukanwa tusi hata moja.Aliambiwa fact kwamba aeleze kifo cha mzee wetu nyerere,aliambiwa aeleze kwa nini ameuza nchi.Unaweza kutoa mfano wa tusi hata moja toka kwa vicent kwenda kwa mkapa?
 
Naanza kuwa na wasiwasi na watu wa Meru, kwenye mkutano anaongea utumbo huo halafu mnamwacha anatoka salama! angalieni hata kura zenu wasije wakazichukua mchana kweupe nyie mnatazama tu.
Angalizo: Kwenye mikutano ya CCM msiende tena na watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, hao wapelekeni kwenye mikutano ya CDM ili wakue wakijua namna nchi yao inavyoliwa ili baadae wajue kuwa kulikuwa na watu waliojitolea kutetea raslimali zao.
 
Jamaa ni boga kabisa, yaani hana heshima kwa akina mama na watoto waliokuwa hapo. mikutano kama hii watu wanaudhuria na wakwe, mama , baba hata nawatoto. alafu yeye kwa ufinyu wa akili zake anapewa mike kumwaga *****
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.
 
Last edited by a moderator:
hivi wa TZ lini mtaacha kujidanganya na neno mahakama kuwa mahali pa haki? waende mahakamani na bado lucnde atashinda,
 
Hivi wazazi na watoto wake wakimsikia anasema haya wanajiskiaje?
 
Hapana Mkuu, si kutumia hela za Chama au Serikali.

Hapa nataka kujua kama hata Wadau wa haki za binadamu wanaweza kuingilia na kumpandisha kizimbani kwa kumwaga lugha chafu mbele ya watoto wadogo.

Kichama sifahamu kama inaruhusiwa maana kwenye siasa itaanza "uhuru wa kuongea na mambo ya kampeni."

Ndiyo maana nikauliza kwa wataalamu wa Sheria kama hiki kitu kinawezekana ili kumburuza huyu mtu Mahakamani.

Ila ninaamini kuwa kama si leo, basi hata kesho siku itafika mtu atapandishwa kizimbani.
kumshitaki huyo Kilaza ni kuendelea kufuja kodi za wananchi maana huyo akishitakiwa na watu wakasimama kidete anakula miaka...
Haina haja ya kumshitaki ni wa kuachana nae tu maana hapo tayari ushahidi upo wazi, ni sawa na kesi za Wabunge wa CCM na CDM, ni uharibifu wa muda na pesa za walalahoi
 
hehehehehehe
we kweli henge
hapa hatupo mahakamani mambo ya ushahidi nenda mahakamani ama tafuta crip ya halima mdee usikilize alichokisema juu ya wasila

mimi sina sio CCM wala CDM lakini huwa sipendi sana pale ambapo wanachama wa chama kimoja kujifanya kuwa hawana makosa kulinganisha na chama kingine.

Lusinde anasema

kama ni matusi nae anaweza kwani amechoka kunyamazishwa sasa anajibu mapigo

kwa upande wangu huwezi jibu mapigo kama hakuna aliyekuanza

God bless you for being **** and still living.
 
Kitendo cha Mh Lusinde kuwatukama viongozi na wanachama wa CHADEMA,ajiandae kufikisha kortini kwa kosa la kutukana wana CHADEMA hadharari.Nilipo wasilisha list wa matusi siku ya kwanza,wengi hawakuamini na kuona kama nimetunga thread na kunitukana sana.
Mambo yamedhihirika,Fungua Mh Lusinde Matusi kwenye YouTube
Nawasilisha...
 
very sad, CCM CCM inatupolomoshea maadili ya taifa. Kuiba wanaiba na bado ....
 
Kitendo cha Mh Lusinde kuwatukama viongozi na wanachama wa CHADEMA,ajiandae kufikisha kortini kwa kosa la kutukana wana CHADEMA hadharari.Nilipo wasilisha list wa matusi siku ya kwanza,wengi hawakuamini na kuona kama nimetunga thread na kunitukana sana.
Mambo yamedhihirika,Fungua Mh Lusinde Matusi kwenye YouTube
Nawasilisha...


Lucinde hastahili hata kidogo kuitwa MHESHIMIWA.
 
Hapana Mkuu, si kutumia hela za Chama au Serikali.

Hapa nataka kujua kama hata Wadau wa haki za binadamu wanaweza kuingilia na kumpandisha kizimbani kwa kumwaga lugha chafu mbele ya watoto wadogo.

Kichama sifahamu kama inaruhusiwa maana kwenye siasa itaanza "uhuru wa kuongea na mambo ya kampeni."

Ndiyo maana nikauliza kwa wataalamu wa Sheria kama hiki kitu kinawezekana ili kumburuza huyu mtu Mahakamani.

Ila ninaamini kuwa kama si leo, basi hata kesho siku itafika mtu atapandishwa kizimbani.

Mwisho wa hii Clip kuna dogo kavaa tshirt nyekundu anaonekana kweli matusi yamemfadhaisha!
 
Nadhani Lusinde atakuwa na matatizo ya akili akapimwe. Kwa kitendo alichofanya anatakiwa kushughulikiwa. Kama hizo ndo sera za ccm hatufiki. naona wameamua kuweka hadharani tabia zao sasa

Yeye ndo alipendekeza wapinzani wapimwe akili kwa kupinga marekebisho ya sheria ya kutengeneza mchakato wa katiba. Kimsingi wananchi wa Mtera walikosea sana kumpa ubunge ju.ha huyu

 
Kiongozi, Sina shaka hata kidogo Lucinde asingekuwa bungeni angekuwa kibaka. Na kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli za wana siasa na kauli za vibaka. Kauli alizotoa Arumeru, zinamfunua kabisa ukondoo wake, na kama Mtera waliamini wamemchagua mheshimiwa sasa wakae wakijua wapata kibaka. Hawana mbunge.

Mjinga
 
Back
Top Bottom