Kumshusha Diamond sio leo wala kesho

Kumshusha Diamond sio leo wala kesho

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,525
Reaction score
3,139
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji na kwa muda gani na hali ipi. Kwa jinsi mvua ilikuwa ikinyesha angekuwa msanii mwingine hakuna shabiki ambaye angebaki na mvua ile.

Mvua seriously ilianza wakati anaperform Lavalava kwa ujumla kijana(Lavalava) alionyesha kulimudu jukwaa haswaa.

Mvua iliendelea kunyesha zaidi ndipo Simba alipoingia ili kuipa nguvu zaidi show. Ebhana mchizi ni powerful sn pia anaheshimu sn mashabiki zake.

Hongera kwenu Wasafi pia shukrani kwa mashabiki wenu ambao wako very loyal kwa lolote lile juu ya Wasafi & Bin Laden kwa ujumla

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hebu ishi maisha yako mswahili.

Unakomaa sana na maisha na mafanikio ya mtu ambaye hata hakujui kuliko tako na ya wazazi wako.
Kuyafurahia Mafanikio ya mtu wala sijawahi kufikiria kuwa ni dhambi au kosa! Kumfurahia mswahili mwenzangu na kusifia kizuri alichokifanya imekuwa nongwa!? Ila wewe kumsifia Steven Gerald ni sawa! Pathetic
 
Tunangojea albamu ya kiba kwan 2019 haijafika tu.

Harmonize anaimba taarabu alafu anajistukia

Simba ataendelea kuwa simba tu labda astafu mwenyewe
 
Hebu ishi maisha yako mswahili.

Unakomaa sana na maisha na mafanikio ya mtu ambaye hata hakujui kuliko tako na ya wazazi wako.

Mwaka ndio unaanza badala ya kuwaza ya maana, mko husy na maisha ya watu mkimaliza mnasumbua watu kwa MIZINGA YA BUKU BUKU.
Ujumbe alio kusudia kuuleta mleta mada ni kuhusu kujituma katika kazi na kuheshimu wateja na kuwaona kuwa wao ni wafalme. HAYO MENGINE NI YA KWAKO. KUMPONGEZA ANAYE FANYA VIZURI KWA JAMBO LOLOTE SI DHAMBI.
 
Tatizo la Jf kuna watu wanajifanya wana akili na wajuaji sana..ukimuuliza alifuata nini kwenye huu uzi atakosa jibu.
 
Hawa majamaa mnawatukuza kwa mziki gani wanaoufanya?

Ebu tafuta album ya verteller kutoka kwa dizasta unoe ubongo
 
Dr. Ally, Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz, Dr. Cyprian Mayagi hizi ni zana nitakazo zitumia kumshusha Mondi
 
Bongo wachawi Ni wengi sana
Badala kufikiria atakayepanda na kumzidi
Tunafikiria kumshusha
 
Tangu mlezi apigwe chini misafara ya nje imeisha,tunabanana humu humu sasa.

titaelewana tu.
 
Maji hata yawe ya moto vipi lazima yata urudia ubaridi wake hii law ina apply kwa wasanii wote,cha msingi wawe makini kwa wanacho kipata wawekeze ili kesho wasije kuumbuka baada ya kurudi ktk ubaridi.
 
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji na kwa muda gani na hali ipi. Kwa jinsi mvua ilikuwa ikinyesha angekuwa msanii mwingine hakuna shabiki ambaye angebaki na mvua ile.

Mvua seriously ilianza wakati anaperform Lavalava kwa ujumla kijana(Lavalava) alionyesha kulimudu jukwaa haswaa.

Mvua iliendelea kunyesha zaidi ndipo Simba alipoingia ili kuipa nguvu zaidi show. Ebhana mchizi ni powerful sn pia anaheshimu sn mashabiki zake.

Hongera kwenu Wasafi pia shukrani kwa mashabiki wenu ambao wako very loyal kwa lolote lile juu ya Wasafi & Bin Laden kwa ujumla

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwa nini waafrika mnafikiria namna ya kumshusha mtu na sio kupanda ww juu na kumuombea na yeye azidi kupanda juu? No pleasure in failures of a brother. Ila kwa waafrika tuko kivingine kabisa.
 
Back
Top Bottom