yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji na kwa muda gani na hali ipi. Kwa jinsi mvua ilikuwa ikinyesha angekuwa msanii mwingine hakuna shabiki ambaye angebaki na mvua ile.
Mvua seriously ilianza wakati anaperform Lavalava kwa ujumla kijana(Lavalava) alionyesha kulimudu jukwaa haswaa.
Mvua iliendelea kunyesha zaidi ndipo Simba alipoingia ili kuipa nguvu zaidi show. Ebhana mchizi ni powerful sn pia anaheshimu sn mashabiki zake.
Hongera kwenu Wasafi pia shukrani kwa mashabiki wenu ambao wako very loyal kwa lolote lile juu ya Wasafi & Bin Laden kwa ujumla
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app