Kumsifia Samia kumepungua sana au mshaona mbele kutokavyokuwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.

Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.

Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa.

Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
 
Walio kuwa wanamsifia huyo muhalifu wameona =☠💀☠☠💀💀👹☠👹 mbele yao
 
Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.

Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.

Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa.

Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
Wameshaanza kushiba sasa kuanza kumgeuka a kumtukana soon tutalishuhudia hili 2029 to 2030 yetu macho
 
Back
Top Bottom