Walio kuwa wanamsifia huyo muhalifu wameona =β πβ β πππΉβ πΉ mbele yaoKabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.
Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.
Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa.
Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
Mchuzi umekata πHakuna cha kushtuka , kuna namna minoti haimwagi vya kutosha
Wameshaanza kushiba sasa kuanza kumgeuka a kumtukana soon tutalishuhudia hili 2029 to 2030 yetu machoKabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo.
Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua.
Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe kuwa anapendwa.
Kila kukicha kama anaanza kushtuka au wao ndo shaanza kushtuka.
Fisi akiona nyama hata kama ni mtego wa kumuua hawezi shtukaMchuzi umekata π