Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ni wenye mamlaka wame run out of idea or wako out of smart people?Mfungulieni Lisu,Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lisu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu.
Wndeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?
They have smart people and full of nice ideas.Ni wenye mamlaka wame run out of idea or wako out of smart people?
yoteNi wenye mamlaka wame run out of idea or wako out of smart people?
Lissu ana akili nyingi sana kuliko hao watesi wakeMkuu umeweza mbali na huu wanaofanya hawa watawala ni. Ujinga
vyama nje ya CDM vinaitwa washereheshaji tuuVyama viko vingi, wao waridhiane tu Chadema waacheni waendelee na mambo yao na wananchi wake
That was a very bold statement which was well implemented successfully 100%Hoja za Lissu ziko very clear Lissu alisema bila tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hakuna uchaguzi na chama chake hakiko tayari kushiriki chochote kinachoitwa uchaguzi na ndio ilikua hivyo.
Kwa Kisukuma hiyo tunaita blackmailMfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?
That was a very bold statement which was well implemented successfully 100%
Hakika kabisaKwa Kisukuma hiyo tunaita blackmail
Yes kabisa,CHADEMA waache waendelee na misele Yao.Vyama viko vingi, wao waridhiane tu Chadema waacheni waendelee na mambo yao na wananchi wake
Mfungwa anaingiaje makubaliano?Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?
Both.Ni wenye mamlaka wame run out of idea or wako out of smart people?
Ile ilikuwa maamuzi magumu sanaNaam kwa muda mrefu waliomtangulia Lissu walikua wanatishia ila 2025 ikasimamiwa ikawa kweli , na chama ndio kimezidi kujijengea imani na kukubalika kwa watanzania kuliko watu walivyotarajia.
Madalali waliokuwa wanatumiwa na CCM walikua wanatishia , uchaguzi ukifika wanakipeleka chama kufanya igizo kwa kisingizio kisiposhirki kitapoteza ushawishi ila leo CHADEMA ambayo haikushiriki upuuzi wa CCM imejijenga na kukubalika kuliko CCM na vile vikaragosi vyake 16.
Kubwa la maadui linapongeza walioua Watanganyika zaidi ya 10,000 kuwa walifanya kazi nzuri halafu huyo ndiye wakuridhiana naye? Seriously?Mnaipaisha agenda ya Maridhiano.
Maridhiano maana yake kuna mtu amekosea.
Anakili makosa.
Anaomba Msamaha.
Na anakili hatoweza kurudia.
Sasa nani aliyekosea?.
Amemkosea nani?
Mbona hawaweki wazi.