PostGE2025 Kumtaka Tundu Lissu akubali kushiriki Mariadhiano akiwa kifungoni ni Utekaji pia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kudadeki wameshanyooka ,wameshatepeta hawana pa kukimbilia ,wamezingirwa Kila Kona.
Yaani Hawa mbwa Sasa hivi wameingia kwenye 18 za mkono wa walimwengu.
Ukisikia asiefunzwa na mamaw hufunzwa na ulimwengu ndio hii.
 
Hiyo inaitwa un-ridhi-anable!
 

Mimi napenda CCM, ingawa Maisha Magumu Upande wangu, ndiyo hivyo tena Sasa nifanyeje, nimependa mwenyewe.

CCM OYEEEEEEEE
 
Hilo nalo neno. Una hoja. Ikatazamwe kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…