miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Utajua tu,muda sii mrefuSijui.
Unaweza kukuta huyu magonjwa mtambuka ndio nusrat hanjeAcha wivu wewe Malala.
Kwa hiyo?chura c ndo hao mnaowapiga teke
Halafu?Unaweza kukuta huyu magonjwa mtambuka ndio nusrat hanje
Ametambuliswa huko nyamaganaHalafu?
Kwani muda si mrefu wenyewe unasemaje?Utajua tu,muda sii mrefu
Naomba a-backfire hadi waimbe hallelujah!..aliyefanya hivyo atakuwa anaamini Raisi ni MJINGA au DHAIFU.
Alipotambulishwa ikawaje?Ametambuliswa huko nyamagana
Hii misemo ya kimalaya unaitoa wapi MATAGA?Hebu kuwa na heshima.Kwani muda si mrefu wenyewe unasemaje?
Kwahiyo mnadhani huyo Samia hajui ??..kilichotokea ni kumkosea Rais heshima.
..wamdanganye Rais kwa uongo wenye akili.
..Na sio kumdharau kiasi hiki.
Misemo ya kimalaya yenyewe inasemaje?Hii misemo ya kimalaya unaitoa wapi MATAGA?Hebu kuwa na heshima.
Acha ujinga sasa!Umebakia na heshima 2% nayo unataka wananzengo waitwae?Write your reply...Hanje ni mwanachama halali wa CHADEMA, watanzania tunamtambua
Hapa kajikorogaHatutakubali Chadema itumike kwenye mambo yao ya kijinga
Kwa hiyo unanisuta mbele ya wadangaji wenzako?Misemo ya kimalaya yenyewe inasemaje?
Kwahiyo mnadhani huyo Samia hajui ??
Kivipi?Kwa hiyo unanisuta mbele ya wadangaji wenzako?
Hakuna chochote kinachohusu hao wabunge asichokijua...it is even worse kama anajua.
..hebu fikiria huyo mtumishi aliyepeleka suala hilo mezani kwa Raisi.
..hii ni DHARAU kwa Raisi.