cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Kuna wapinzani tz hii au kuna vicheche?Mama asirudie mtego wa Mwendezake kudanganywa kuhusu Wapinzani. Haimuongezei sifa yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wapinzani tz hii au kuna vicheche?Mama asirudie mtego wa Mwendezake kudanganywa kuhusu Wapinzani. Haimuongezei sifa yoyote
Hivi weye mbona una kaujinga fulani hivi?Una kipapi?Unapingana na ukweli ili iweje punda weye?Kuna wapinzani tz hii au kuna vicheche?
Una akili timamu ?Mjinga ni nani kama siyo wewe unayelalamikia kitu ambacho unatakiwa ukipinge kwa njia ileile iliyotumika sasa unakuja humu ili iweje?usaidiwe nini?
Halafu anaandika huku amekaza mishipa ya kiunoni.Una akili timamu ?
😆😆😆Hivi weye mbona una kaujinga fulani hivi?Una kipapi?Unapingana na ukweli ili iweje punda weye?
Mfukuzeni sasa mnasubiri nini?
Atakua chegwevara huyoBadili jina Cheguevara hakuwa mjinga kihasi hicho.
Mpumbavu huridhishwa na upumbavuKitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi yeyote.
Nusrat Hanje na wenzake 18 walishafukuzwa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za USALITI, hawa wote kwa ujumla wao hawana uwezo wa kuwakilisha chadema kwenye jambo lolote.
Aliyetangaza jambo hili la uongo alilenga kumdanganya Rais ili ionekane Mkutano ule wa vijana wa CCM na Mwenyekiti wa chama chao ni mkutano wa vijana wote wa Tanzania, wakati si kweli. Napendekeza muongo huyo atumbuliwe haraka ili kunusuru mambo yasiharibike zaidi, ikiwa na ugeni wake Mwanza ameanza na uongo duni kama huu, itakuwaje akiachwa hapo mwaka mzima?
View attachment 1819466
Tuliza mshono wewe..Walipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
Yaani mkutano wote wa jana umeonekana ni takataka kabisa. Yaani waandaaji wana mdanganya Rais mchana kweupe kuwa huyu ni mbunge wa Chadema Singida wakati sio mbunge?Rais bado anaruhusu kudanganywa waziwazi namna hii na hao wanasiasa? awe makini sana na haya mambo - unapofikia kumdanganya Rais wetu ni sawa unaudanganya umma wa watanzania. Huyu dada wa Covid 19 ashatimuliwa uanachama muda sana na hao wenzake 18 !!
Intelligensia ya Rais msiruhusu haya mambo ya kumdanganya Rais - timizeni wajibu wenu.
Nadhani kuna kikundi kinamhujumu mamaYaani mkutano wote wa jana umeonekana ni takataka kabisa. Yaani waandaaji wana mdanganya Rais mchana kweupe kuwa huyu ni mbunge wa Chadema Singida wakati sio mbunge?
Jee kama jambo la wazi vile anadanganywa mangapi ya siri wana mpiga changa la macho?
Kumbe huyu mama mwepesi namna hii? Au wanamdharau kwa vile mwanamke?
Rais mnamgeuza mwenyekiti wa kitchen party? Au kiongozi wa Wamama vikoba group?
Hayati John Pombe Magufuli.Acha wivu wewe
Baraza kuu lipo katikati ya mwaka kma ilivyo miaka yote. Kina Halima walishafutwa uanachama wanacholilia ni baraza kuu kuwarudishia/Yaani kupangua hukumu ya kamati kuu lakini sio eti bado ni wanachama!! Hakuna hicho kitu.Huyo na wenzake akina Mdee status quo yao kwenye chadema iko pale pale hadi maamuzi ya baraza kuu la chadema litakapokaa na kusikiliza kesi yao na kuitolea maamuzi. Huwezi kuwafukuza kwa kipeperushi na bila hata haki yao ya msingi ya kusikilizwa. Baraza kuu limeshindwa kukaa kwa sababu ya ukapa, sasa nani wa kulaumiwa?
Mawazo hakufa sababu ya CHADEMA aliuawa sababu alitaka kuleta mabadiliko usukumani ambapo miaka 50 ya uhuru bado ni eneo maskini sana. Kama hufahamu alikua CCM na pengine angekuwa waziri leo.... Lakini alipata guilt kuona yye anatoboa hku ndugu zake wanapigika na umaskini.Unadhani bado kuna mtu mjinga kama mawazo tena?
Kafa kwaajili ya chadema familia yake inateseka,huyu kajiongeza
Tatizo Jamii Forum imejaza wajinga katika kipindi cha karibuni. Mijitu mingi, wewe ukiwemo, inajadili ujinga badala ya hoja. Sio wote wanaopita humu wana mahaba ya kipumbavu ya mavyama mnayopoteza muda kuyashabikia. Ungekuwa na akili japo kidogo, ungefahamu kwamba linapokuja suala la urais wa Samia anatazamwa kama kiongozi wa wote, hata wasio na mahaba na vyama. Linapokuja suala la urais Samia sio miliki ya CCM. Ulichoandika hapa ni upumbavu. Turudi kwenye hoja sasa. Kuchafuliwa kwa Samia na Hanje kuko hivi: Maono ya Rais Samia ni kurejesha utengamano katika Taifa hili ambalo miaka mitano iliyopita imeshuhudia mvurugano mkubwa, ikiwemo kuzalishwa chuki za kimakundi ikiwemo kisiasa. Hanje ni miongoni mwa wabunge ambao wamefukuzwa uanachama wa CDM, na ubunge wa akina Hanje ni jambo linalogusa kusiginwa kwa Katiba ya nchi, sasa Hanje anapoibukia kwenye mkutano wa Samia, halafu akatambulishwa na waandaaji wa mkutano kuwa ni mwakilishi wa CDM, akili yako haiona kama jambo hili linachafua azima ya Rais Samia kuleta uponyaji wa mioyo kwa makundi ya kisiasa?Amemchafua Samia wapi?na tangu lini Samia akawa mama yenu chadema?kwahiyo ccm ni baba yenu?
Kwa hiyo?Hayati John Pombe Magufuli.