Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hata uume imara?Acha ujinga basi MATAGA?Huna lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata uume imara?Acha ujinga basi MATAGA?Huna lolote.
Once ukikubali kutumika, utakuwa wa kutumika tu! Heshima yote ambayo Nusrat Hanje aliijenga aliibomoa kwa tumbo lake mwenyewe! Ona sasa anaanza kutumika kuhadaa umma kwa namna ya hovyo kabisa. Nusrat Hanje sio tu kwamba sio BAVICHA, bali sio hata mwanachama wa Chadema. Ona Hanje sasa ameanza kutumika kumchafua mama yetu Samia!Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi yeyote .
Nusrat Hanje na wenzake 18 walishafukuzwa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za USALITI , Hawa wote kwa ujumla wao hawana uwezo wa kuwakilisha chadema kwenye jambo lolote .
Aliyetangaza jambo hili la uongo alilenga kumdanganya Rais ili ionekane Mkutano ule wa vijana Wa ccm na Mwenyekiti wa chama chao ni mkutano wa vijana wote wa Tanzania , wakati si kweli . Napendekeza muongo huyo atumbuliwe haraka ili kunusuru mambo yasiharibike zaidi , ikiwa na ugeni wake Mwanza ameanza na uongo duni kama huu , itakuwaje akiachwa hapo mwaka mzima ?
mkuu usiingie kwenye mtego wa huyo jamaaHata uume imara?Acha ujinga basi MATAGA?
siyo vizuri hii kitu.Mama anatapeliwa wazi wazi
Hana nyimbo huyo.Saa hizi anahangaika na mods wanipe ban.Anapaswa apewe ukweli🤣🤣🤣mkuu usiingie kwenye mtego wa huyo jamaa
Tulio nao hatuulizi.Hata uume imara?...
Usaliti ni laana mbaya sanaOnce ukikubali kutumika, utakuwa wa kutumika tu! Heshima yote ambayo Nusrat Hanje aliijenga aliibomoa kwa tumbo lake mwenyewe! Ona sasa anaanza kutumika kuhadaa umma kwa namna ya hovyo kabisa. Nusrat Hanje sio tu kwamba sio BAVICHA, bali sio hata mwanachama wa Chadema. Ona Hanje sasa ameanza kutumika kumchafua mama yetu Samia!
Sasa mbona umeambiwa uchague mchele umekubali?Tulio nao hatuulizi.
Kwa hiyo hizo ni harakati za kuhalalisha uovu sio,Acha wivu wewe Malala.
Weye una kaupele.Maneno meengi huku katibu mwenezi ndiyo mwalimu wako.🤣🤣🤣Tulio nao hatuulizi.
Upuuzi mtupu.Weye una kaupele.Maneno meengi huku katibu mwenezi ndiyo mwalimu wako.🤣🤣🤣
Sijui.Kwa hiyo hizo ni harakati za kuhalalisha uovu sio,
Hivi ulifikiria nini kujibatiza "magonjwa mtambuka" kenge weye?Wenye akili kama weye wengi ni vichaa ila hawajijui🤣🤣🤣Upuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Hivi ulifikiria nini kujibatiza "magonjwa mtambuka" kenge weye?Wenye akili kama weye wengi ni vichaa ila hawajijui🤣🤣🤣
Uwe unajibu maswali kwa heshima MATAGA!Mind you!😂😂😂😂Sijui.
chura c ndo hao mnaowapiga tekeAcha kupiga kelele za chura.
Covid 19 hawana aibu kwa kweli, sijui nani anawapa kibri hawaKitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi yeyote .
Nusrat Hanje na wenzake 18 walishafukuzwa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za USALITI , Hawa wote kwa ujumla wao hawana uwezo wa kuwakilisha chadema kwenye jambo lolote .
Aliyetangaza jambo hili la uongo alilenga kumdanganya Rais ili ionekane Mkutano ule wa vijana Wa ccm na Mwenyekiti wa chama chao ni mkutano wa vijana wote wa Tanzania , wakati si kweli . Napendekeza muongo huyo atumbuliwe haraka ili kunusuru mambo yasiharibike zaidi , ikiwa na ugeni wake Mwanza ameanza na uongo duni kama huu , itakuwaje akiachwa hapo mwaka mzima ?
Mama anaheshimika bara,visiwani hadi ughaibuni.Ila haya majinga yanaleta dharau...kilichotokea ni kumkosea Rais heshima.