Inaelekea mleta mada hauelewi vizuri mfumo wa CAPITALISM. Hao wanaochezesha hiyo michezo, wanawatumia washindi kama "chambo" cha kuwanasia wajinga wajinga wengine! Wao lazima wakutangaze kwa nguvu zote ili biashara yao izidi kushamiri. Swala la kwamba baada ya kukutangaza ni nini kitakupata, hiyo ni juu yako wewe ndio utapambana na hali yako. Kwamba utauawa na majambazi, au nini that is none of their business.
Nafikiri Marekani kuna Capitalism kuliko Tanzania.
Na huku Marekani wana Capitalism kiasi kwamba wamekataa juwa na sheria zote sawa nchi nzima, kuna seria nyingine, kama za mtu anaywshinda bahati nasibu, zinaamukiwa na jimbo.
Hivyo, maana yake, kwenye hili, kwa majimbo 50 ya Marekani, kuna shwria tofauti. Zinaamukiwa na majimbo.
Kuna majimbo mengine mtu akishinda bahati nasibu ana uhuru wa kukataa kutangazwa. Haya ni majimbo yanayomuweka juu mshindi kuliko makampuni ya bahati nasibu.
Kuna majimbo mengine, mtu akishinda bahati nasibu, ni lazima atangazwe.Majimbo haya yanayaweka makampuni ya bahati nasibu juu zaidi ya mtu aliyeshinda.
Kwa hivyo, tunaweza kuona hata kwenye capitalism, kunaweza kuwa na sheria tofauti, hata katuka n hi moja.
Hivyo, hili si suala la capitalism tu.
Ni suala la watu walivyoamua kuishi.
Sent using
Jamii Forums mobile app