lengo ni kuwaonyesha watu kuwa ni kweli watu wanashinda ili wapate wanaobet wengi, ni marketing hiyoNdio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana baada ya ushindi anakabiliana na mambo mengi sana huenda hata huo ushind asiufaid.
Usemayo ni Kweli mkuu sema iyo ni Kama Marketing Strategy ili Kuvutia wengi wa bet au kucheza iyo Bahati na Sibu Maana Bila kutangaza nani ataamini? pamoja na kutangazwa washindi bado kuna watu hawaamini wanasema wanapeana wenyewe kwa wenyewe itakua iyo kuficha!?Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana baada ya ushindi anakabiliana na mambo mengi sana huenda hata huo ushind asiufaid.
Usemayo ni Kweli mkuu sema iyo ni Kama Marketing Strategy ili Kuvutia wengi wa bet au kucheza iyo Bahati na Sibu Maana Bila kutangaza nani ataamini? pamoja na kutangazwa washindi bado kuna watu hawaamini wanasema wanapeana wenyewe kwa wenyewe itakua iyo kuficha!?
Apo hawawez ng'oo kuficha washindi mana ndio njia ya kupiga hela iyo japokua wanawaweka kwenye Risk kubwa sana washindi so wapambane na hali yao hao washindi
Nakazia📌📌📌
Na ni ushamba kucheza nicheze kimya kimya nikishinda mnanishikia mpaka na mabango kama sio uchawi ni niniNdio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana baada ya ushindi anakabiliana na mambo mengi sana huenda hata huo ushind asiufaid.
Hivi nikiwaambia sitaki nitangazwe popote watakataa kunipa pesa zangu nilizo shinda?Na ni ushamba kucheza nicheze kimya kimya nikishinda mnanishikia mpaka na mabango kama sio uchawi ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma T&C zao ,mfanyabiashara huwa hakurupuki hata siku 1 likija suala la pesaaaaHivi nikiwaambia sitaki nitangazwe popote watakataa kunipa pesa zangu nilizo shinda?
BADILI BIASHARA AU KAZI!! KWANI NI LAZIMA KUBET!Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana baada ya ushindi anakabiliana na mambo mengi sana huenda hata huo ushind asiufaid.
Nafikiri Marekani kuna Capitalism kuliko Tanzania.Inaelekea mleta mada hauelewi vizuri mfumo wa CAPITALISM. Hao wanaochezesha hiyo michezo, wanawatumia washindi kama "chambo" cha kuwanasia wajinga wajinga wengine! Wao lazima wakutangaze kwa nguvu zote ili biashara yao izidi kushamiri. Swala la kwamba baada ya kukutangaza ni nini kitakupata, hiyo ni juu yako wewe ndio utapambana na hali yako. Kwamba utauawa na majambazi, au nini that is none of their business.
Wahusika wanaona ni njia ya kuuaminisha umma kuwa kweli kuna watu wanashinda.Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk
Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana baada ya ushindi anakabiliana na mambo mengi sana huenda hata huo ushind asiufaid.
Hivi nikiwaambia sitaki nitangazwe popote watakataa kunipa pesa zangu nilizo shinda?
Naomba namba zake,nahitaji kumliwaza.Huu kwetu Kwamtogole mama mmoja alishinda bahati nasibu. Alikuwa single mother wa mvulana wa miaka saba. Alitangazwa kwenye magazeti na champagne kufunguliwa.
Baada ya hapo wahuni walipanga njama za kumteka mtoto wake awalipe nusu yapesa aliyoipata. Bahati nzuri polisi walizinyaka mapema.
Kwakua pesa alikuwa nayo alitafuta nyumba sehemu ambayo hakuna aliyemfahamu akaanza maisha mapya.