Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
 
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
 
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
Mama upo Kizimkazi?
 
Hivi kwani kuna mahali ameomba kutetewa?
 
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
Mzee alitembea kwenye ukweli mtupu 🤣
 
Mbowe anaumbuka. Mzee anasema kaitikia with wa Mbowe kuwataka wafike hapo. Yaani wameitwa na Mbowe.
😂😂 Hata mtu mjinga kabisa lazima ajue wameitwa na Mbowe ili kuhadaa watu kuwa anapendwa sana. Mbinu za kijinga mno. Huu ujinga nilidhani uko ccm tu, kumbe hadi cdm upo! Hii ni ishara kuwa Mbowe kafikia mwisho wa kufikiri. Namshauri tu akubali matokea kuwa mabadiliko yamefika, hakuna jinsi zaidi ya yeye kukaa pembeni, hizo pesa chafu za ccm hazitamuokoa.
 
Walioko Jf, 80% sio wapiga kura siku ya uchaguzi wa Chadema!

So walioko nje ya Jf, ndio wapiga kura.
Mbowe atamshinda Lissu mapema asubuhi!
Ni kweli kabisa, Mbowe atamshinda Lisu kwa kura maana ana hela za kuhonga wajumbe wapiga kura, lakini hawezi kuifanya cdm iwe na afya tena maana mabadiliko kwa sasa ndani ya cdm ndio yatainusuru, kwa bahati mbaya Mbowe sio sehemu ya haya mabadiliko. Rejea kilichomtokea Lipumba na CUF aliposhupaza shingo.
 
Mtu mwenye akili uwezi kumpa mropokaji wa Kila kitu uongozi wa juu wa chama!
Lissu Hana dini
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
Mbowe amefanya kosa la kiufundi kwa maelezo yake ni kwamba aliivamiwa na wapenzi wanachama wa CDM wakitaka agombee nafasi ya Mwenyekiti CDM. Kinyume na maelezo mzee mwanachama kutoka Bagamoyo anasema ameitkia wito wa Mwenyekiti. Hizi kauli kinzani zinamtie Mbowe doa.
 
Back
Top Bottom