Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
Mmiliki katumia njia danganyifu ili ionekane kana kwamba waigizaji ndio walio liasisi lile igizo, kumbe aah ! Mbinu za mwamba !
 
Mbowe amefanya kosa la kiufundi kwa maelezo yake ni kwamba aliivamiwa na wapenzi wanachama wa CDM wakitaka agombee nafasi ya Mwenyekiti CDM. Kinyume na maelezo mzee mwanachama kutoka Bagamoyo anasema ameitkia wito wa Mwenyekiti. Hizi kauli kinzani zinamtie Mbowe doa.
Yaani Mbowe anafanya watu ni watoto, uvamiwe na wapenzi wako wakute hadi viti vya kukaa nyumbani kwako?!
 
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.

Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.

Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo lionekane lenye uhalisia. Hii clip inayosambaa ndo imekuwa chumvi kwenye kidonda.
Si wangevaa hata sare za chama Chao kama ccm wanavyofanya labda wangependeza kidogo lakini wao wanaonekana wapowapo tu kama wanaangalia mpira kwenye banda la video
 
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
Smart brain na wanampendelea Soka tu, Mbise na Mlay kama sio watu, Kifo Cha Mzee Kibao Mbowe amechukulia poa sana kimya hadi leo.

Siasa za Mbowe ni kulia Lia na ubinafsi wa kitoto
 
Hoja za kitoto hizi boss. Hatuhitaji familia yake, tunahitaji uongozi wake..
Sasa nilikuwa sijakuelewa! Nimekuta ninachat na la saba!
Nitasema wazi kwamba siwezi kuamini kwamba Tundu Lissu atashinda uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema.

Kwa maoni yangu, nafasi yake inaonekana kuwa na changamoto nyingi, na kuna maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kuweza kuongoza chama hiki kwa mafanikio.

Chadema ni chama chenye historia ndefu na kina wanachama wengi wenye maono tofauti, na ni muhimu kwa kiongozi kuweza kuunganishwa na kila mmoja wao.

Ikiwa Lissu atafanikiwa katika uchaguzi huu, nitahitaji kufikiria upya msimamo wangu kisiasa.

Nimekuwa nikihusishwa na Chadema kwa muda mrefu, lakini kama kiongozi atakayechaguliwa hawezi kuleta mabadiliko chanya, nitakuwa na sababu ya kuhama na kujiunga na CCM.

Ninatazamia kuona mabadiliko na nguvu mpya katika uongozi wa Chadema, lakini kama hali itabaki vile vile, nitajikuta katika nafasi ya kutafuta chama kingine ambacho kinaweza kufanikisha malengo yangu ya kisiasa.

Hivyo basi, nasubiri kwa hamu kuona matokeo ya uchaguzi huu na athari zake kwa mustakabali wa siasa nchini.
 
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
According to lema wanaopotea ni watu wa kaskazini tu Sasa Hao kina chaula umewatoa wapi?
 
Unafahamu nyumbani kwake?

Familia Iko Belgium,uje umpe chama Tanganyika?
Itakuwa hatuko serious!
Hiki Chama chini ya Mbowe ndio kilimpitisha kugombea Urais wa Tanzania mwaka 2020 , vip kilikuwa hakijui kuwa familia yake iko Belgium?
 
Sasa nilikuwa sijakuelewa! Nimekuta ninachat na la saba!
Nitasema wazi kwamba siwezi kuamini kwamba Tundu Lissu atashinda uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema.

Kwa maoni yangu, nafasi yake inaonekana kuwa na changamoto nyingi, na kuna maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kuweza kuongoza chama hiki kwa mafanikio.

Chadema ni chama chenye historia ndefu na kina wanachama wengi wenye maono tofauti, na ni muhimu kwa kiongozi kuweza kuunganishwa na kila mmoja wao.

Ikiwa Lissu atafanikiwa katika uchaguzi huu, nitahitaji kufikiria upya msimamo wangu kisiasa.

Nimekuwa nikihusishwa na Chadema kwa muda mrefu, lakini kama kiongozi atakayechaguliwa hawezi kuleta mabadiliko chanya, nitakuwa na sababu ya kuhama na kujiunga na CCM.

Ninatazamia kuona mabadiliko na nguvu mpya katika uongozi wa Chadema, lakini kama hali itabaki vile vile, nitajikuta katika nafasi ya kutafuta chama kingine ambacho kinaweza kufanikisha malengo yangu ya kisiasa.

Hivyo basi, nasubiri kwa hamu kuona matokeo ya uchaguzi huu na athari zake kwa mustakabali wa siasa nchini.
Hahahaha mbadala wa CHADEMA ni CCM na mbadala wa CCM ni CHADEMA, hapo sasa wazi siasa ni Utopolo Utopopwinyo
 
Sasa nilikuwa sijakuelewa! Nimekuta ninachat na la saba!
Nitasema wazi kwamba siwezi kuamini kwamba Tundu Lissu atashinda uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema.

Kwa maoni yangu, nafasi yake inaonekana kuwa na changamoto nyingi, na kuna maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kuweza kuongoza chama hiki kwa mafanikio.

Chadema ni chama chenye historia ndefu na kina wanachama wengi wenye maono tofauti, na ni muhimu kwa kiongozi kuweza kuunganishwa na kila mmoja wao.

Ikiwa Lissu atafanikiwa katika uchaguzi huu, nitahitaji kufikiria upya msimamo wangu kisiasa.

Nimekuwa nikihusishwa na Chadema kwa muda mrefu, lakini kama kiongozi atakayechaguliwa hawezi kuleta mabadiliko chanya, nitakuwa na sababu ya kuhama na kujiunga na CCM.

Ninatazamia kuona mabadiliko na nguvu mpya katika uongozi wa Chadema, lakini kama hali itabaki vile vile, nitajikuta katika nafasi ya kutafuta chama kingine ambacho kinaweza kufanikisha malengo yangu ya kisiasa.

Hivyo basi, nasubiri kwa hamu kuona matokeo ya uchaguzi huu na athari zake kwa mustakabali wa siasa nchini.
Wewe nenda ccm tu hatuwezi mkataa Lissu kwa hoja mufilisi kutoka kwako, nimesoma maelezo yako hauna hoja ya msingi
 
Yule ni mtu mwenye tamaa! Umakamu mwenyekiti,miaka yake yote ,hajafanya chochote.
Robert Amsterdam,ana msaidia KESI ya tigo!
Huku anatafuta kushindwa uchaguzi akimbilie Belgium
 
Toka lini makamu akawa na nguvu kuliko mwenyekiti? muda umefika sasa kuwa mwenyekiti ili mipango yake ikafanye kazi kwenye chama, wakati wa Lissu ni sasa
 
Back
Top Bottom