Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,105
- 20,307
Mtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila unapoenda, kana kwamba haitoshi umeamua kumteua ubunge ili umpe uwaziri aendelee kufanya ufisadi wake kwa kutapanya mali za watanganyika!
Wengi walidhani dozi ya October 29 ingekugudusha na kukufanya urudi kwenye msitari wa kuwatumikia watanzania kwa kuwalindia katiba yao lakini hilo limekushinda na sasa kiburi chako kipo juu kuliko wakati mwingine wowote. Yani kiburi chako hata Farao wa Misri ya kale haoni ndani!!
Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
Umeteua watoto wako, wakwe zako na sasa umeamua kututeulia mafisadi!
Yani report ya CAG imejaa ufisadi wa kutisha badala ya kupambana na ufisadi wewe unawateua mafisadi!!