Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Lowasa alihamia chadema na Lisu akawa mpiga kampeni wake
Halafu akarejea tena CCM...
Lowasa alihamia chadema na Lisu akawa mpiga kampeni wake
Iko hivi... Marekani ndo iliwasanua dakika za mwishooo kuwa hadi kufikia saa 7 kamili mchana serikali itakuwa imepinduliwa! Na wananchi watakuwa wameongezeka barabarani na mitaani... Chap chap ikatolewa amri ya kuzima mtandao ikifuatiwa na "Shoot-To-Kill" hadi kuwafuata waliokuwa majumbani!Mkuu mimi sikubaliani na wewe kuwa hatuna cha kuwafanya. Kama uko well informed na kilichotokea tarehe 29/10 ni kuwa kosa lilikuwa upande wa wananchi. Asubuhi na mchana kuna wanajeshi wengi tu walikuwa wanahimiza wananchi watoke kwa wingi, wajae barabarani. Wakaachia mpaka watu wakawa wanakumbatia magari yao. Tatizo ni kuwa hawakutoka watuwa kutosha hivyo wauaji wakapata nguvu baadae. Laiti umati wa watu ungejaa barabarani leo hii ingekuwa ni simulizi nyingine. Hivyo nataka kusema wananchi wakitaka hata leo, kwa umoja wao, hakuna wa kuwazuia. Hii imethibika sehemu zote za dunia hata kwa zile nchi zilizokuwa na serikali katili kuliko CCM.
Uko sahihiMkuu mimi sikubaliani na wewe kuwa hatuna cha kuwafanya. Kama uko well informed na kilichotokea tarehe 29/10 ni kuwa kosa lilikuwa upande wa wananchi. Asubuhi na mchana kuna wanajeshi wengi tu walikuwa wanahimiza wananchi watoke kwa wingi, wajae barabarani. Wakaachia mpaka watu wakawa wanakumbatia magari yao. Tatizo ni kuwa hawakutoka watuwa kutosha hivyo wauaji wakapata nguvu baadae. Laiti umati wa watu ungejaa barabarani leo hii ingekuwa ni simulizi nyingine. Hivyo nataka kusema wananchi wakitaka hata leo, kwa umoja wao, hakuna wa kuwazuia. Hii imethibika sehemu zote za dunia hata kwa zile nchi zilizokuwa na serikali katili kuliko CCM.
Hii ya Marekani kuwasanua haina ukweli wowote. Hilo la madini ni CCM katika kutaka kuwafumba mdomo ili waikubali serikali haramu.. Samia alikuwa amejiandaa kuua sema wanajeshi wengi hawakuwa wanadhania mauaji yangekuwa kwa kiwango hicho.Iko hivi... Marekani ndo iliwasanua dakika za mwishooo kuwa hadi kufikia saa 7 kamili mchana serikali itakuwa imepinduliwa! Na wananchi watakuwa wameongezeka barabarani na mitaani... Chap chap ikatolewa amri ya kuzima mtandao ikifuatiwa na "Shoot-To-Kill" hadi kuwafuata waliokuwa majumbani!
(Kurejesha fadhila Chap chap mwakilishi wa Marekani akaja kupata ujira wake wa rare metals!)
Huwezi kuwalaumu wananchi waliokuwa wakipokea taarifa kupitia mitandao iliyozimwa! Kingine maandamano yalikosa wasimamizi kuwaelekeza watu nini wafanye na wapi waelekee kwa muda gani!
Ziendelee kutumika njia nyingine; zilizopo na zisizokuwepo kujaza watu uelewa, uzalendo na ujasiri!
Kisasa cha Mungu kipo juu ya kichwa cha SamiaHii ya Marekani kuwasanua haina ukweli wowote. Hilo la madini ni CCM katika kutaka kuwafumba mdomo ili waikubali serikali haramu.. Samia alikuwa amejiandaa kuua sema wanajeshi wengi hawakuwa wanadhania mauaji yangekuwa kwa kiwango hicho.
Hivi Nani alitoa dozi.. sasa kama mmetoa dozi why mpaka Leo mnalia lia Tu...buckle kup Fanya KAZI wacha wivu wa kikeMtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila unapoenda, kana kwamba haitoshi umeamua kumteua ubunge ili umpe uwaziri aendelee kufanya ufisadi wake kwa kutapanya mali za watanganyika!
Wengi walidhani dozi ya October 29 ingekugudusha na kukufanya urudi kwenye msitari wa kuwatumikia watanzania kwa kuwalindia katiba yao lakini hilo limekushinda na sasa kiburi chako kipo juu kuliko wakati mwingine wowote. Yani kiburi chako hata Farao wa Misri ya kale haoni ndani!!
Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
Umeteua watoto wako, wakwe zako na sasa umeamua kututeulia mafisadi!
Yani report ya CAG imejaa ufisadi wa kutisha badala ya kupambana na ufisadi wewe unawateua mafisadi!!
Basi CHADEMA watapinga hiliMtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila unapoenda, kana kwamba haitoshi umeamua kumteua ubunge ili umpe uwaziri aendelee kufanya ufisadi wake kwa kutapanya mali za watanganyika!
Wengi walidhani dozi ya October 29 ingekugudusha na kukufanya urudi kwenye msitari wa kuwatumikia watanzania kwa kuwalindia katiba yao lakini hilo limekushinda na sasa kiburi chako kipo juu kuliko wakati mwingine wowote. Yani kiburi chako hata Farao wa Misri ya kale haoni ndani!!
Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
Umeteua watoto wako, wakwe zako na sasa umeamua kututeulia mafisadi!
Yani report ya CAG imejaa ufisadi wa kutisha badala ya kupambana na ufisadi wewe unawateua mafisadi!!