Kumteua Mwijaku kuwa mhamasishaji wetu ni kuunajisi mpira

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious!

Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara alafu 1% kaitumia kuiongelea team Tena kwa upuuzi wa kusema anatembea uchi team ikifungwa. Jitu ambalo mpira halijui unataka akuhamasishe Nini zaidi ya upuuzi na uropokaji? Kama lengo letu nikuleta amshahamsha kwanini hata tusimchukue Masau Bwire ambaye ukiacha yeye kujua kuongea Sana lakini mpira anaujua hata Manara before hajawa msemaji wetu alikuwa mchambuzi wa mpira Tanzania.

Mwijaku ni mtu ovyo Sana hastahili nafasi yoyote pale Simba, jitu ambalo linavujisha video za ngono ana maana gani kwetu sisi? Linaropokaropoka bila facts halijui maneno gani yatumike kwenye maeneo husika.

Mtu ambaye hakubaliki na watu wengi kwa tabia yake ya uchawa na usemaji wa ovyo atamuhamasisha Nani? Simba mnamtaka kutuletea watu aina ya Juma Lokole, Babalevo kwenye soka letu? Huyu mpuuzi atatuharibia image ya team yetu ionekane uongozi mzima wenu una akili kama zake.

Kutokana na Hili jitu la kutoa maboko Wapinzani wetu watapata sehemu ya kutuazibu.

NB: Tunaomba uongozi wetu wa Simba wamtoe huyu mpuuzi kabla mambo hayajaharibika hapo badaae
 
Mimi binafsi naamimini Mwijaku kakaaa pale sababu ya konekesheni yake na vunja bei ila ushafikiria the other side of the coin?? Kuna jitu lile sukule kwa sasa litakuwa linatukanana na Mwijaku? yaani karudishwa kwenye level yako anayostahili siyo kama alivyokuwa najikweza kwamba yeye ni wa kubishana na kina Barbra ndiyo maana juzi dongo la ndoa hajalijibu hadi leo ila ingekuwa imesemwa na kina Mangungu ungeona moto wake

Faida ya Mwijaku itakuwa moja, yeye na sukule ni kama nguruwe wachafu acha wacheze kwenye matope huko wakati simba inatafuta afisa habari atakayefanya kiuweledi na kama dozi ya mwijaku haitotosha iongezwe ya dk kumbuka warushiane maneno na kusutana na sukule 24/7 maana ni majitu yanayoishi mjini kwa majungu na kusutana tu
 
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu.Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious!

Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara alafu 1% kaitumia kuiongelea team Tena kwa upuuzi wa kusema anatembea uchi team ikifungwa.Jitu ambalo mpira alijui unataka akuhamasishe Nini zaidi ya upuuzi na uropokaji? Kama lengo letu nikuleta hamshahamsha kwanini hata tusimchukue Masau bwile ambaye ukiacha yeye kujua kuongea Sana lakini mpira anaujua hata Manara before ajawa msemaji wetu alikuwa mchambuzi wa mpira Tanzania.

Mwijaku ni mtu ovyo Sana hastahili nafasi yoyote pale Simba jitu ambalo linavujisha video za ngono anamaana gani kwetu sisi? Linalopokalopoka bila facts halijui maneno gani yatumike kwenye maeneo husika.

Mtu ambaye hakubaliki na watu wengi kwa tabia yake ya uchawa na usemaji wa ovyo atamuhamasisha Nani? Simba mnamtaka kutuletea watu aina ya jumalokole, babalevo kwenye soka letu? Huyu mpuuzi atatuharibia image ya team yetu ionekane uongozi mzima wenu una akili kama zake.

Kutokana na Hili jitu lakutoa maboko Wapinzani wetu watapata sehemu ya kutuazibu.

NB: Tunaomba uongozi wetu wa Simba wamtoe huyu mpuuzi kabla mambo hayajaharibika hapo badaae
Huu mwandiko wa msukule mputu

2936430_FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Huyo Mwijaku ndio size ya Msukule sasa maana ametukana sana viongozi ni mda mwafaka sasa watukanane na huyo mwijaku maana msukule unajiona wenyewe ndio unahaki ya kutukana wengine sasa kama mwanachama wasimba nasema ikiwapendeza Mwijaku aongezewe vyeo vingine hapo unyaman maana mwijaku ameongea kama dakika5 tu mpaka sasa msukule unapumulia machine huko
 
Mwijaku ndo aliyevujisha jezi za Simba, wameenda store na Vunja bei kapiga picha kwa uwizi akaachia
 
Mimi binafsi naamimini mwijaku kakaaa pale sababu ya konekesheni yake na vunja bei ila ushafikiria the other side of the coin?????kuna jitu lile sukule kwa sasa litakuwa linatukanana na mwijaku? yaani karudishwa kwenye level yako anayostahili siyo kama alivyokuwa najikweza kwamba yeye ni wa kubishana na kina Barbra ndiyo mana juzi dongo la ndoa hajalijibu hadi leo ila ingekuwa imesemwa na kina Mangungu ungeona moto wake

Faida ya mwijaku itakuwa moja , yeye na sukule ni kama nguruwe wachafu acha wacheze kwenye matope huko wakati simba inatafuta afisa habari atakayefanya kiuweledi na kama dozi ya mwijaku haitotosha iongezwe ya dk kumbuka warushiane maneno na kusutana na sukule 24/7 maana ni majitu yanayoishi mjini kwa majungu na kusutana tu
Mkuu labda lugha yako na mwandiko utaeleweka vizuri kwa wale wanaompinga Mwijaku. maana tumejitahidi kuwaelezea lkn bado kila mtu anakuja na uzi wake wa kumfitinisha Mwijaku....` wadau tulieni tu yule msukule kapata saizi yake mwaka huu lazima awe mpole tu'!!
 
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu.Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious!

Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara alafu 1% kaitumia kuiongelea team Tena kwa upuuzi wa kusema anatembea uchi team ikifungwa.Jitu ambalo mpira alijui unataka akuhamasishe Nini zaidi ya upuuzi na uropokaji? Kama lengo letu nikuleta hamshahamsha kwanini hata tusimchukue Masau bwile ambaye ukiacha yeye kujua kuongea Sana lakini mpira anaujua hata Manara before ajawa msemaji wetu alikuwa mchambuzi wa mpira Tanzania.

Mwijaku ni mtu ovyo Sana hastahili nafasi yoyote pale Simba jitu ambalo linavujisha video za ngono anamaana gani kwetu sisi? Linalopokalopoka bila facts halijui maneno gani yatumike kwenye maeneo husika.

Mtu ambaye hakubaliki na watu wengi kwa tabia yake ya uchawa na usemaji wa ovyo atamuhamasisha Nani? Simba mnamtaka kutuletea watu aina ya jumalokole, babalevo kwenye soka letu? Huyu mpuuzi atatuharibia image ya team yetu ionekane uongozi mzima wenu una akili kama zake.

Kutokana na Hili jitu lakutoa maboko Wapinzani wetu watapata sehemu ya kutuazibu.

NB: Tunaomba uongozi wetu wa Simba wamtoe huyu mpuuzi kabla mambo hayajaharibika hapo badaae
Hakukua na haja ya muhamasishaji wala msemaji rasmi wa timu...timu inajihamasisha yenyewe mbona...
 
Mkuu Mwijaku hajawekwa pale kwa sababu ya kuwa mhamasishaji wa simba no mwijaku amewekwa pale kimkakati aweze kupunguza nguvu ya Yule msukule ndo hizo mpira wetu ndivyo ulivyo
 
Kawaida sana, mbona kuna mabalozi wa kodi ambao hawajui chochote...
 
coin?????kuna jitu lile sukule kwa sasa litakuwa linatukanana na mwijaku? yaani karudishwa kwenye level yako anayostahili siyo kama alivyokuwa najikweza kwamba yeye ni wa kubishana na kina Barbra ndiyo mana juzi dongo la ndoa hajalijibu hadi leo ila ingekuwa imesemwa na kina Mangungu ungeona moto wake
Dah!..
 
Faida ya mwijaku itakuwa moja , yeye na sukule ni kama nguruwe wachafu acha wacheze kwenye matope huko wakati simba inatafuta afisa habari atakayefanya kiuweledi na kama dozi ya mwijaku haitotosha iongezwe ya dk kumbuka warushiane maneno na kusutana na sukule 24/7 maana ni majitu yanayoishi mjini kwa majungu na kusutana tu
Noma sana...
 
Hakukua na haja ya muhamasishaji wala msemaji rasmi wa timu...timu inajihamasisha yenyewe mbona...
Ni kweli, katika Timu ambazo zimepata mafanikio hakuna mambo kama haya. Timu Inajibrand Yenyewe.

Lakini Mwijaku acha amsagie kunguni Msukule, ndo kiboko yake. Ndo maana Msukule amepoa sana siku hizi mbili.
 
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu.Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious!

Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara alafu 1% kaitumia kuiongelea team Tena kwa upuuzi wa kusema anatembea uchi team ikifungwa.Jitu ambalo mpira alijui unataka akuhamasishe Nini zaidi ya upuuzi na uropokaji? Kama lengo letu nikuleta hamshahamsha kwanini hata tusimchukue Masau bwile ambaye ukiacha yeye kujua kuongea Sana lakini mpira anaujua hata Manara before ajawa msemaji wetu alikuwa mchambuzi wa mpira Tanzania.

Mwijaku ni mtu ovyo Sana hastahili nafasi yoyote pale Simba jitu ambalo linavujisha video za ngono anamaana gani kwetu sisi? Linalopokalopoka bila facts halijui maneno gani yatumike kwenye maeneo husika.

Mtu ambaye hakubaliki na watu wengi kwa tabia yake ya uchawa na usemaji wa ovyo atamuhamasisha Nani? Simba mnamtaka kutuletea watu aina ya jumalokole, babalevo kwenye soka letu? Huyu mpuuzi atatuharibia image ya team yetu ionekane uongozi mzima wenu una akili kama zake.

Kutokana na Hili jitu lakutoa maboko Wapinzani wetu watapata sehemu ya kutuazibu.

NB: Tunaomba uongozi wetu wa Simba wamtoe huyu mpuuzi kabla mambo hayajaharibika hapo badaae
Ni aibu kubwa sana kwa Simba
 
Ni kweli, katika Timu ambazo zimepata mafanikio hakuna mambo kama haya. Timu Inajibrand Yenyewe.

Lakini Mwijaku acha amsagie kunguni Msukule, ndo kiboko yake. Ndo maana Msukule amepoa sana siku hizi mbili.
Mwijaku ni mtoa boko Sana, Hana tofauti na Mwakalebela kama Simba nia yao ni hiyo uliyosema wamechemka Jana kwenye insta story yake alipost wakiwa wanaongea mambo ya ngono yeye na mke wake. Mwijaku ni mtu ovyo Sana subiri aanze mambo yake yale utavyoona image ya Simba itavyoanza kuharibika wewe mwenyewe utaanza kumkataa
 
Back
Top Bottom