Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Mtu wa hovyo ameajiriwa kwenye media house kubwa hapo nchini kwenu!!!... Wakati mwengine vitu na kazi msizozijua mziache ziendelee hata mkiandika kadri mtakavyo tayari ana pata ujira wake!!!Mwijaku nimtoa boko Sana Hana tofauti na mwakalebela kama Simba nia yao ni hiyo uliosema wamechemka Jana kwenye insta story yake alipost wakiwa wanaongea mambo ya ngono yeye na mke wake Mwijaku ni mtu ovyo Sana subiri aanze mambo yake yale utavyoona image ya Simba itavyoanza kuharibika wewe mwenyewe utaanza kumkataa