Kumteua Mwijaku kuwa mhamasishaji wetu ni kuunajisi mpira

Mtu wa hovyo ameajiriwa kwenye media house kubwa hapo nchini kwenu!!!... Wakati mwengine vitu na kazi msizozijua mziache ziendelee hata mkiandika kadri mtakavyo tayari ana pata ujira wake!!!
 
Ila tukubali tu kua Manara aliplay part kubwa sana kuhamasisha mashabiki waipende simba. Yaani alifanya hata wasiopenda mpira wajikute tu wanashabikia kwa yale maneno maneno yake.

Hata ukiangalia simbadei ndio uwanja ulijaa lakini hakukua na ile amsha amsha kama ya msimu ule hasa walivyokua wakitambulishwa wachezaji. Mnyonge mnyongeni ila pengo la Manara pale simba linaonekana dhahiri na hakuna atakayeweza liziba isipokuwa Manara mwenyewe.
 
Mtu wa hovyo ameajiriwa kwenye media house kubwa hapo nchini kwenu!!!... Wakati mwengine vitu na kazi msizozijua mziache ziendelee hata mkiandika kadri mtakavyo tayari ana pata ujira wake!!!
Mbona hata jumalokole pia nae kaajiliwa kwenye media kubwa lakini hayondoi kuwa ni watu wa ovyo ndiomaana tangu ajiliwe kwenye leo tena kipindi kilipoteza mvuto tofauti na kipindi ambacho hayupo hapo
 
Mbona hata jumalokole pia nae kaajiliwa kwenye media kubwa lakini hayondoi kuwa ni watu wa ovyo ndiomaana tangu ajiliwe kwenye leo tena kipindi kilipoteza mvuto tofauti na kipindi ambacho hayupo hapo
Kipindi kupoteza mvuto ni kukosa matangazo au hujui?!!.. kipindi kilicho kosa mvuto hata wewe Una fwatilia!!!...Hebu badilisha namna yako ya kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…