Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
@Mkandara , kupenda kwako Kufirwa unataka Serikali ije kukwambia uache hiyo Tabia ?Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"
Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?