Kumtoa nyoka pangoni

Kumtoa nyoka pangoni

Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
@Mkandara , kupenda kwako Kufirwa unataka Serikali ije kukwambia uache hiyo Tabia ?
 
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Sasa andika na wewe tukuelewe sasa🤔. Kwani inaonyesha umekariri maneno yako mawili ndiyo unapandishia uzi humu.
 
Hasira ya nini? Au na wewe mule mule Wakubwa kwa Wakubwa?!!
 
Yupo mdau alikuuuliza hujajibu swali lake,sasa sijui ni maswali gani unaendelea kuuliza,ikijibu swali la mdau tutaeewana.
 
Watoto hua ni victims sana... Wakubwa wanataka wenyewe...

Kuna mambo yanasikitisha sana...
 
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-

"Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu"

Je, ni kweli kasema maneno haya na kamaanisha vile vile watu vilivyoelewa?
Mzee kwenye child protection kinachotangulizwa ni maslahi ya mtoto kwanza. Kwann kwasababu hana uwezo wa kujilinda dhidi ya vitendo vibaya. We jitu zima na akili zako unakubali kubanduliwa na wenzio ni kwamba umeamua mwenyewe unataka kusema raisi kakosea nn pale?
 
Kwa hiyo child protection inahalalisha kitendo cha Wakubwa kwa Wakubwa? Maana hoja yangu sii swala la kulinda watoto bali tendo la Ushoga limehalalishwa rasmi? Maana isije siku mtu akasema "Tunalaani vitendo vya Ushoga kumbe yeye mwenyewe shoga!"
 
Hakuna alokuzuia kuonyesha Ujinga wako, maana ni haki yako kama ilivyo haki ya haooo..
Wasomi kama nyie ni bure na laana kwenye nchii hii

Tulitegemea usomi wenu ungeleta mapinduzi ya kiutawala lakini kilicho baki kwenu ni kuwa wapambe wa ccm na viongozi wengine

Elimi yenu ni takataka tu kweny nchi hii,kwa elimu hy eti ukawa chawa wa magufuli! na bado ww mzee utazeeka na uchawa wako kama issa shubhamiti walah.

Tamaa na njaa zitawauweni
 
Haina taabu Uzee wangu muulize Mama yako ananijua vizuri. Wee kama Papai endelea kutetea Upinde - Mbwa kala Mbwa..
 
Ww mzee kwa comment hii inadhihirisha ulivyo mwehuu kichwani.

Nyie ndio mlizalisha mapapai mengi mitaani.
 
Back
Top Bottom