Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini
kama hujaelewa si lazima kukufafanulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini
Japokuwa Katiba inaruhusu hayo yote, ifikie hatua kila mtanzania apimwe kiwango cha upunguani na watakaokuwa extreme kama huyu Kitila na wenzake mazezeta ndani ya CHADEMA basi wasipewe hata nafasi ya kucomment kwenye public
si lazima kujibu kila unachohitaji


wewe ni msemaji wa MKUMBO? Namtaka yeye mwenyewe na udaktari wake nimvue nguo, sijui hiyo Phd yake kaipatia wapi hiyo.
mtazamo huu nani punguani kati yako wewe usiyeweza kujibu ulichokizusha na kushindwa kukitetea na Kitila aliyekaa kimya
By Lusewa![]()
hata kama alishinda kwa kura moja lakini ndo Rais wetu
nikakuuliza unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini
By Lusewa![]()
kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?
kwa hiyo wewe umeamua kumjibia au wewe ndo Kitila Mkumbo? Nipe jibu
Kikwete sio rais wa CCM ni rais wa watanzania wote
CHADEMA wana Rais wao anaitwa Dr WILBROAD SLAA. Ndo maana alipigiwa mizinga 21 kule zambia
Unakosea sana. Kumbuka hata wazo la katiba mpya CCM hawakuwa nalo lakini ni JK aliyewaburuza baada ya yeye naye kubanwa na shinikizo la umma. Hata hapo tulipofika bado JK ana uwezo wa kuwaburaza CCM wenzake akielewa hoja ni nini na kama kweli dhana ya katiba anaielewa na kuikubali. Ni muhimu sana JK aendelee kushinikizwa ili aendelee kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi na kuachana na maslahi finyu ya chama chake. Katiba Mpya ni jambo pekee alilobaki nalo katika kuweka alama ya kudumu ya utawala wake. Likimponyoka hili basi tena atasaulika mapema sana baada ya utawala wake kwisha.
Mimi nawashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA,NCCR na CUF wasiwe na matumaini kwamba Raisi Kikwete atawasikiliza na kwamba hatasaini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba.
Raisi Kikwete ndie mwenyekiti wa CCM taifa na huu ni mkakati wa CCM kwahiyo wanachofanya wabunge wa CCM ni kutekeleza tu mkakati wa chama chao na hivyo Kikwete kutosaini itakuwa ni sawa na kuwasaliti wana CCM wenzake wakiwemo hao wabunge wa CCM waliopitisha muswaada huo.
Pia ifahamike kuwa serikali ya Kikwete imekuwa ikitegemea wabunge wa CCM kupitisha mambo yake ndani ya bunge na kwa maana hiyo si rahisi kwa Raisi Kikwete kuwaudhi wabunge ambao siku zote ndio tegemeo lake ndani ya bunge.
Atakachofanya Kikwete sana sana ni labda kuwaita wapinzani Ikulu kama ushahidi tu na kuwaridhisha licha ya kauli ya Wassira kwamba hatutawaita tena wapinzani Ikulu.Atakaa nao Ikulu wataongea lakini mwisho wa siku atasaini tu kama alivyowahi kufanya siku za nyuma juu ya swala hilo hilo la Katiba alipokutana na CHADEMA.
Raisi Kikwete siku zote ni mtu wa kuangalia upepo na huu muungano wa wapinzani juu ya katiba si wa kuupuza na hivyo ile kauli ya waziri Wassira haitafanyiwa kazi.Na pia naamini ile kauli ya Wassira ni kauli ya Kikwete.
Tusijdanganye,hakuna tofauti kati ya Kikwete na wabunge wa CCM katika swala la katiba.Kama ni kutosaini ni lazima Kikwete ashauriane na chama chake na si vinginevyo hata ikibidi kwa siri.
Tena sana.Huyu Mzee sio kabisa .Ulikuwa sawa kabisa Mkuu. Kikwete ni MNAFIKI.