Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Tumia akili!Swala la katiba ni zaida ya vyama na ndio maana leo hata wapinzani wanaungana juu ya swala hili.
Wewe kwa akili zako unadhani ni makosa Raisi kuungana na wapinzani linapokuja swala la katiba kama tungekuwa na mkuu wa nchi makini?!
Hii nchi wala katiba si mali ya CCM!
kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?
