Kumtofautisha Rais Kikwete na wabunge wa CCM katika swala la katiba mpya ni kujidanganya!

Tumia akili!Swala la katiba ni zaida ya vyama na ndio maana leo hata wapinzani wanaungana juu ya swala hili.

Wewe kwa akili zako unadhani ni makosa Raisi kuungana na wapinzani linapokuja swala la katiba kama tungekuwa na mkuu wa nchi makini?!

Hii nchi wala katiba si mali ya CCM!

kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?
 
kati kati

Tunataka kikwete afanye swala la katiba kwa maslahi ya Taifa siyo vyama vya siasa hususani ccm

Katiba nizaidi ya cdm, cuf, nccr nk na ni zaidi ya ccm.

huo ndiyo mtazamo wetu.

cdm, cuf na nccr waache viherehere na kujifanya wao ndo wasemaji kwa niaba ya watanzania wote
 
Ni upunguani kwa Dr Kama wewe kudhani kuwa Rais anaweza kushinikizwa kwa kila jambo. vinginevyo hakuna umuhimu wa kuwa na Rais

Lusewa

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.
 
Unakosea sana. Kumbuka hata wazo la katiba mpya CCM hawakuwa nalo lakini ni JK aliyewaburuza baada ya yeye naye kubanwa na shinikizo la umma. Hata hapo tulipofika bado JK ana uwezo wa kuwaburaza CCM wenzake akielewa hoja ni nini na kama kweli dhana ya katiba anaielewa na kuikubali. Ni muhimu sana JK aendelee kushinikizwa ili aendelee kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi na kuachana na maslahi finyu ya chama chake. Katiba Mpya ni jambo pekee alilobaki nalo katika kuweka alama ya kudumu ya utawala wake. Likimponyoka hili basi tena atasaulika mapema sana baada ya utawala wake kwisha.​

Hapa ndipo weledi wa kisiasa hauangalii huyu ni dokta, huyu ni mtoto wa kijiweni, huyu ni mwalimu n,k . Kwa maana hiyo Mkumbo unataka kuuaminisha umma wa watanzania kuwa JK kafanya mazuri mengi ispokuwa asipowasikiliza wapinzani katika hili la Katiba atakuwa ameharibu mazuri yote aliyoyafanya? Tuamini kelele za wapinzani na hasa chama chako kuwa JK hajafanya kitu ni propaganda tu za wanasiasa bali ukweli ni kwamba kafanya mazuri?

Kweli ujinga wa siasa hauna Daktari, teja wala kijana wa kijiweni. Hivi kuli hizi za mtu anayejiita Msomi zinatofauti gani na kauli kama za akina SUGU, LEMA ambao shule yao imetokana na kukaa kwao vijiweni na magenge ya ajabu?
 
cdm, cuf na nccr waache viherehere na kujifanya wao ndo wasemaji kwa niaba ya watanzania wote

Lusewa
Unafaham kazi ya vyama vya siasa? naomaba kwa uchache urozeshe walau 3.

Unafaham majukum ya wabunge? naomba kwa uchache uorodheshe walau 4

Ukishindwa kufanya hivyo utakuwa mjinga na -------- usiyejuwa unajadili nini na kwa maslahi ya nani.
 
Hapa ndipo weledi wa kisiasa hauangalii huyu ni dokta, huyu ni mtoto wa kijiweni, huyu ni mwalimu n,k . Kwa maana hiyo Mkumbo unataka kuuaminisha umma wa watanzania kuwa JK kafanya mazuri mengi ispokuwa asipowasikiliza wapinzani katika hili la Katiba atakuwa ameharibu mazuri yote aliyoyafanya? Tuamini kelele za wapinzani na hasa chama chako kuwa JK hajafanya kitu ni propaganda tu za wanasiasa bali ukweli ni kwamba kafanya mazuri?

Kweli ujinga wa siasa hauna Daktari, teja wala kijana wa kijiweni. Hivi kuli hizi za mtu anayejiita Msomi zinatofauti gani na kauli kama za akina SUGU, LEMA ambao shule yao imetokana na kukaa kwao vijiweni na magenge ya ajabu?

thatha

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.
 
Lusewa

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.

KIKWETE amechaguliwa na Watanzania na si mapunguani waliopo ndani ya CHADEMA kama huyu Kitila Mkumbo
 
kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?

1. Ulitaka viungane vingapi?

2. Tanzania yenye watu zaidi ya mil 44, kikwete alipata lidhaa kuitawala kwa kura ngapi?
 
Unakosea sana. Kumbuka hata wazo la katiba mpya CCM hawakuwa nalo lakini ni JK aliyewaburuza baada ya yeye naye kubanwa na shinikizo la umma. Hata hapo tulipofika bado JK ana uwezo wa kuwaburaza CCM wenzake akielewa hoja ni nini na kama kweli dhana ya katiba anaielewa na kuikubali. Ni muhimu sana JK aendelee kushinikizwa ili aendelee kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi na kuachana na maslahi finyu ya chama chake. Katiba Mpya ni jambo pekee alilobaki nalo katika kuweka alama ya kudumu ya utawala wake. Likimponyoka hili basi tena atasaulika mapema sana baada ya utawala wake kwisha.

Imefika wakati watanzania tutambue kila mtu anao uwezo wa kusoma mpaka wakapata shahada ya udaktari na tuache kusujudu watu wanaojiita wasomi wenye kiwango hiki cha elimu. Hivi mkumbuko unaweza kweli kusema JK alishinikizwa? na nani? umma upi ulimshinikiza? Unafikiri Mwalimu alipowakubalia wachache kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi nchini alishinikizwa? Je chadema hoja pekee mnayoiona ni uhai wa chama chenu ni Katiba mpya mpaka JK asahaulike mapema endapo hatawakubalia? Nasema hatuna haja tena ya kuwaabudu watu kama wewe kama wasomi.
 
Lusewa
Unafaham kazi ya vyama vya siasa? naomaba kwa uchache urozeshe walau 3.

Unafaham majukum ya wabunge? naomba kwa uchache uorodheshe walau 4

Ukishindwa kufanya hivyo utakuwa mjinga na -------- usiyejuwa unajadili nini na kwa maslahi ya nani.

Mkuu, hapa hatupo kuorozesha majukumu ya vyama vya siasa. mchakato wa katiba ni zaidi ya vyama vya siasa. hatuwezi kuendelea na mchakato eti kuna punguani fulani wanataka matakwa yao ndiyo yapewe kipaumbele
 
1. Ulitaka viungane vingapi?

2. Tanzania yenye watu zaidi ya mil 44, kikwete alipata lidhaa kuitawala kwa kura ngapi?

hata angekubaliwa na watanzania wawili si ndiyo demokrasia? unajua watanzania wangapi walikubali mfumo wa vyama vingi?
 
1. Ulitaka viungane vingapi?

2. Tanzania yenye watu zaidi ya mil 44, kikwete alipata lidhaa kuitawala kwa kura ngapi?

hata kama alishinda kwa kura moja lakini ndo Rais wetu
 
KIKWETE amechaguliwa na Watanzania na si mapunguani waliopo ndani ya CHADEMA kama huyu Kitila Mkumbo

1. katiba ya Tanzania kisheria inamtambua kitila kama mtanzania au mnyarwanda, kama mtanzania fafanua kauli yako hapo juu....

2. Katiba ya Tanzania inatambua uhuru wa kujiunga na chama cha siasa na uhuru wa kutoa maoni, Nini tatizo kwa Kitila
 
thatha

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.

wewe ni msemaji wa MKUMBO? Namtaka yeye mwenyewe na udaktari wake nimvue nguo, sijui hiyo Phd yake kaipatia wapi hiyo.
 
Lusewa
Unafaham kazi ya vyama vya siasa? naomaba kwa uchache urozeshe walau 3.

Unafaham majukum ya wabunge? naomba kwa uchache uorodheshe walau 4

Ukishindwa kufanya hivyo utakuwa mjinga na -------- usiyejuwa unajadili nini na kwa maslahi ya nani.

kuwa makini na unachokiandika, usituletee U-Kitila humu ndani, eti Dr. halafu anaandika upuuzi kama huo kwenye mchango wake.
 
1. katiba ya Tanzania kisheria inamtambua kitila kama mtanzania au mnyarwanda, kama mtanzania fafanua kauli yako hapo juu....

2. Katiba ya Tanzania inatambua uhuru wa kujiunga na chama cha siasa na uhuru wa kutoa maoni, Nini tatizo kwa Kitila

Japokuwa Katiba inaruhusu hayo yote, ifikie hatua kila mtanzania apimwe kiwango cha upunguani na watakaokuwa extreme kama huyu Kitila na wenzake mazezeta ndani ya CHADEMA basi wasipewe hata nafasi ya kucomment kwenye public
 
Mkuu, hapa hatupo kuorozesha majukumu ya vyama vya siasa. mchakato wa katiba ni zaidi ya vyama vya siasa. hatuwezi kuendelea na mchakato eti kuna punguani fulani wanataka matakwa yao ndiyo yapewe kipaumbele

hapa chini umevitaja vyama vya siasa na tafadhali tupatie majukum yao ilikufahamu kama vinahusika au hapana

quote_icon.png
By Lusewa
kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?
 
hata kama alishinda kwa kura moja lakini ndo Rais wetu

unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini

Back
Top Bottom