Kumtofautisha Rais Kikwete na wabunge wa CCM katika swala la katiba mpya ni kujidanganya!

Japokuwa Katiba inaruhusu hayo yote, ifikie hatua kila mtanzania apimwe kiwango cha upunguani na watakaokuwa extreme kama huyu Kitila na wenzake mazezeta ndani ya CHADEMA basi wasipewe hata nafasi ya kucomment kwenye public

Kwaahiyo wewe Luewa ni zaidi ya katiba?

By Lusewa

KIKWETE amechaguliwa na Watanzania na si mapunguani waliopo ndani ya CHADEMA kama huyu Kitila Mkumbo
 
si lazima kujibu kila unachohitaji

mtazamo huu nani punguani kati yako wewe usiyeweza kujibu ulichokizusha na kushindwa kukitetea na Kitila aliyekaa kimya

By Lusewa

hata kama alishinda kwa kura moja lakini ndo Rais wetu

nikakuuliza unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini

By Lusewa

kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?
 
wewe ni msemaji wa MKUMBO? Namtaka yeye mwenyewe na udaktari wake nimvue nguo, sijui hiyo Phd yake kaipatia wapi hiyo.

achana na Dr mimi wa shule za kata natosha Tuanze na hapa

Jichola3

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.

Jichola3 unaemaje?
 
kwa hiyo wewe umeamua kumjibia au wewe ndo Kitila Mkumbo? Nipe jibu
 
kwa hiyo wewe umeamua kumjibia au wewe ndo Kitila Mkumbo? Nipe jibu

Umezusha hapo chini kwamba vyama vya wanachama chini ya mil 5 havifai kuwakilisaha watanzania. hapa chini

umeandika nini? napo juu unataka kujuwa mimi ni nani......mimi ni adolay hata kusoma hujuwi?

By Lusewa

hata kama alishinda kwa kura moja lakini ndo Rais wetu

nikakuuliza unasemaje kuhusu kauli yako hapa chini

By Lusewa

kama suala la katiba ni zaidi ya vyama, iweje muungane vyama vitatu tu vyenye wanachama chini ya milioni 5 wakati watanzania wote ni zaidi ya milioni 44?

By adolay

kwa mtazamo huu nani punguani kati yako wewe ndugu Lusewa usiyeweza kujibu ulichokizusha na kushindwa kukitetea na Kitila aliyekaa kimya
 
CHADEMA wana Rais wao anaitwa Dr WILBROAD SLAA. Ndo maana alipigiwa mizinga 21 kule zambia

hoja yetu hapa siyo Dr Slaa, naomba usiwe punguwani......

By Lusewa

Ni upunguani kwa Dr Kama wewe kudhani kuwa Rais anaweza kushinikizwa kwa kila jambo. vinginevyo hakuna umuhimu wa kuwa na Rais

Lusewa

Hujaelewa kabisa hoja ya Dr Kitila Mkumbo.

1.Juzi kuhusu syria David cameroon, yeye kama waziri mkuu wa England aliamua kuishabulia syria.

alipofika bungeni akashinikizwa kubadili msimamo wake, kwasababu anaheshimu mawazo ya waengereza akabadili.

2. USA pamoja na Katiba kumruhusu Obama kufanya maamuzi ya kuingia vitani moja kwa moja, kwa busara na hekima bado ilibidi kutafuta ushauri na msimamo wa congress- bado wangeweza kumshinikiza aachane na kuipiga syria

Kikwete yupo pale kwa kura za watanzania, watanzania ndiyo walomwajiri na wanahaki kikatiba kumwambia wanataka

nini,
anaweza kuwapuuza na kufanya anavyoona yeye inafaa-matokeyo ya mambo ya kulazimisha ni machafuko.

Lusewa
Jadili hili kama mwenye akili na siyopunguwani......
 
Kitila Mkumbo exactly! Huo unalosema ndio ukweli!
 
Raisi atakapofuata maslahi ya chama Mungu ataingilia kati, na watapukutika kama majani yaliyokauka juu ya mti. Ameni.
 
Ulikuwa sawa kabisa Mkuu. Kikwete ni MNAFIKI.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…