Naanza naweweWakamatwe kadhaa wawe mfano
Kwa nini ukikosoa inaonekana unapigania watu fulani? Mimi nikisema wizi sio Jambo zuri, hapo nakuwa napigania watu au nakua napinga kwa sababu kweli mm naona wizi sio mzuri?Nyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako
Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi
Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.
Nyumbu nyie
Hakika upo sahihi..Nyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako
Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi
Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.
Nyumbu nyie
nyumbu? Acha shomboNyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako
Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi
Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.
Nyumbu nyie
ID fake unataka mwenzako ambaye Serikali na genge lao la wahuni aandike unayopenda wewe halafu akichezea kifinyo uje uandike hapa #Free_Millard?! SHUBAMITTT!!!Tulia mwandishi wa mchongo millard ayo dawa ikuingie.
Unajua ya kuwa mwandishi wa habari hutakiwi kuwa biased ???
Kosoa wewe usilazimishe na mtu mwingine awe weweKwa nini ukikosoa inaonekana unapigania watu fulani? Mimi nikisema wizi sio Jambo zuri, hapo nakuwa napigania watu au nakua napinga kwa sababu kweli mm naona wizi sio mzuri?
Nikisema waziri wa ujenzi ameshindwa kazi barabara mbovu, hapo nakua napigania watu au nakua nakosoa sababu ni kweli naona barabara mbovu?
Hoja yangu kwa nini mtu akikosoa unahisi anapigania watu fulani?
Umejibu bila kuelewa, sijasema ukosoe au kulazimisha wengine wakosoeKosoa wewe usilazimishe na mtu mwingine awe wewe
Kwanini mnamtukana Millardayo?Umejibu bila kuelewa, sijasema ukosoe au kulazimisha wengine wakosoe
Nilichosema wanaokosoa wanakosoa sababu ya kupigania mtu au wanakosoa kwa sababu kweli wanaona Kuna makosa yapo? Maana ulisema hata akipigania watu baadae wanakuacha mwenyewe.
Mtu anakosoa sababu kaona Kuna kosa, ni si eti anapigania watu
UpupuHii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.
Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh ya vitu, bado ni kiJana ambae hakupaswa kupewa matusi anayopewa.
Page ya Samia na viongozi wengine zipo, kwanini mumuandame kijana huyu? Kwanini hizi hasira zisielekezwe mahali sahihi? Lakini pia mama wa millard ayo amehusika vipi? Nadhan hii sio sawa kabisa.