Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

WAO na SISI watawala wanachekelea nyie mnakanyagana huku na kusumbuana. By the way hizo nguvu na rasilimali muda ya kutukana unless inakupunguzia stress; ni matumizi mabaya ya calories...
 
Wange-unfollow. Dawa ya media inayo-support hawa wauaji ni kuwapotezea na siyo kuwatukana. Wakikosa walaji akili zitawakaa sawa.
 
Kiukweli hata mimi huwa naona ni uzwazwa kumlaumu na kumtukana Millard Ayo ilihali wote tunajua hata yeye mwenyewe anatamani sana awe anapost kila habari, ila ndio hivyo serikali dhalimu imemzuia...

....Na yeye kwa maslahi mapana ya kampuni yake imebidi afuate kile walichomuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…