Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

Kigego anazingua sana. Huwezi ukaiingiza nchi kwenye makubaliano ya kitaahira vile.
 
Kuuza nchi na bandari zote reli ....huo unaitwaje
 
Kujikomba 😕
 
Na hii mikataba isiyo na maslahi kwa taifa pia ni uhaini.
 
Tumekuelewa mkuu ila pia je kwa mfano wewe ni raisi mwenye kauarabu kwa mbali, je kugawa rasilimali za taifa kwa wajomba waarabu, je hii ni nini ?!!
 
Wakifanya hilo hitaji la moyo wako ndiyo majibu kuhusu mkataba na DP World yatakuwa yamewafikia wananchi?Ukipewa changamoto unapaswa uikabili positively na siyo kuanzisha ugomvi.Utaonesha kuwa hauna nia njema tena.Hoja kwa hoja.Siyo hoja kwa risasi.
Hoja kwa hoja ni sawa, ila sio hoja kwa matusi,
Tatizo wengi wanamtukana mh rais matusi ya nguoni, hivi hata kma unadai ni sahihi?
Serikali inasema mkataba bado, watu wamekazana nchi imeuzwa, ooh miaka mia, oooh milele halafu wanafatisha matusi ya nguoni kwa rais, hawa nina asilimia zote sio watanzania
 
Lofa wewe kubabeki zako anatukanwa Baden-Powell rais wa dunia sembuse chief mangungo wa msovero na bogas treats zake
 
Ebu taja tusi moja la nguoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…