Kumtukuza Mwanamke ni udhaifu

Kumtukuza Mwanamke ni udhaifu

Halafu wanasema Wana KEI tamu,
Sifa ya uongo kabisa ambayo hakuna mwanamke duniani aliyonayo!

Dah
Job truetrue!
 
Usijali mkuu Mwaka unaisha umri unaongezeka. Muda utaongea mbeleni huko. Mark my word
 
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume.

Mabandiko ni mengi sana eg. Mwanaume pesa, Mwanaume mashine, Mwanaume kuhonga n.k kiasi kwamba imesababisha wanawake waone wanahaki ya kupata kilakitu kizuri kutoka kwa Mwanaume na wakati wao wahafanyi the same kwetu.

Sio ajabu leo ukakutana na Mwanaume anahangaika kutafuta Dawa za kukuza maumbile ili amridhishe Mwanamke ambae ana sehemu kubwa za siri zilizoingiliwa na wanaume zaidi ya 20.

Vijana wanahangaika kilasiku kununua Viagra na madawa ya kuongeza nguvu za kiume ili tu asifiwe na Mwanamke kuwa anajua kunanii kitandani.

Tabia hii ya kuwatukuza wanawake inapelekea wanaume kuteseka sana na wengine kufa ili kuwatimizia wanawake mahitaji yao (UTUMWA).

Jambo baya ni kwamba sisi wanaume hatuongelewi na wanawake kama tunavyowaongelea wao (KUWATUKUZA).

Naamini hujawahi kusikia Mwanamke akisimama na kusema "Mwanamke Bikra bwana" au "Mwanamke heshima" ila ni rahisi kukutana na Mwanaume anasema mwanaume kuhonga bwana n.k.

Ni dhahiri kuwa thamani ya Mwanaume inadidimia siku baada ya siku, na kama hatutokuwa makini basi wanawake watatutumia kama Wapumbavu na kutudharau sana.

Ushauri: Fanya kilichondani ya uwezo wako, lakini usiruhusu kujitesa kwasababu ya kiumbe ambacho hakipo tayari kujitesa kwaajili yako.
kumtukuza mwanamke ni alama ya mahaba
 
Namtukuza sana mama yangu na mke wangu
 
Mwenye masikio na asikie.hii imeenda mkuu.
 
Pale tanesko pana magar mabovu sana ndio mana bia zimepanda bei baada ya sigara kupigwa mshindo na vijana wakafungua taili basi ikawa mbunge wa ngara akapita na bus matajir weng wa mjini ndio mana marol yanapobeba makaa ya mawe yana angusha ndege ya rais baba wanawake ndio wapo kama maneno ya hapo juu ukishindwa kujijal na kujipenda utajikuta umekufa
 
Mwanamke kuishi naye Kwa akili.Kila hatua anayochukua kuwa hatua mbili mbele yake.
 
Back
Top Bottom