Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Hili la kuwaambia ndugu mbona limeshaelezwa na ndugu zake.
Lakini mbona polisi hawakurespond aliposema anafatiliwa na isitoshe Polisi mbona walimwacha dereva wa lissu wakaanza kumsaka siku nyingine kabisa
 
Sasa waliogopa nini kutoka nje ya gari na kukaa kwa dk20 kama hawakuwa na fikra kama hizo?
 
Kisheria, kama kesi hii itaenda mahakamani Dereva huyu atafungwa kwa kosa la uzembe.
Endapo Tundu angekufa ni lazima angekuwa mtuhumiwa no. wa mauji.
Watu ambao wamekuwa wanawafuatilia toka Dar, na kwa sababu wana mtandao, basi wangepanga kuwamalizia porini badala ya kumsindikiza mpaka nyumbani kwake na kufanya jaribio la kumuua.
Si vizuri kuwataja watu mashuhuri ambao wameangamia barabarani kwa mazingira tatanishi kati ya Dodoma na Chalinze.
 

Naona unawafundisha ili wasikosee tena kwa mara nyingine wakipanga mbinu, na naona unatamani wafanye mission ya pili maana unatilia mkazo kabisa wakifanya tena wasikosee halafu mwisho unamaliza "pole lisu. Mungu akujalie afya njema" huu sio unafiki? ...

Kwani ungemsifia dereva tu na uhodari wake ukaishia hapo usingeeleweka pia???
 
Ndio maana dereva anakimbia kuhojiwa na polisi kwa sababu anawajua wauaji
 


hapana mkuu tuende mbele turud nyuma mie sina imani kbs na dereva wa tundu toka siku ya kwanza !pesa ilimuua YESU kumbuka mkuu !ukimsoma utamwelewa amewadharau tu ! ni mtu makini mtoa mada
 
Anasema aliwahi kunywa nao Rose garden,huyu dereva ndio wa kumng'ang'ania atatoa tu muelekeo badala yake tunamuacha tunasoma albadiri


duh ngj nirefresh nione sijauona huo uzi mie nilishastuka siku ya tukio kushika vile nguo !ah chadema hebu amken jaman
 
Hii ilifanywa bila kuaga, it was a surprise kwa oderer , it was not a mission, went rogue.
 
MBWENI una kusudia ile ya Zanzibar? Ambayo ni Kijitonyama two?
 
HUJAELEWEKA KABISA
 
Wewe ni mkewe Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…