Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Hahaha! Niko tayari mkuu maana siku hizi hali si hali sasa sisi tusiokuwa na mbinu na mafunzo ya akina Van Damme tutamalizwa mara 1.
Safi sana mkuu. Kwa kuanza zoezi, nadhani tutambue kwanza uwepo wa maadui zetu na kisha "motive" ya uadui wao halafu tuendelee na mengineyo.
 
hapana mkuu tuende mbele turud nyuma mie sina imani kbs na dereva wa tundu toka siku ya kwanza !pesa ilimuua YESU kumbuka mkuu !ukimsoma utamwelewa amewadharau tu ! ni mtu makini mtoa mada
Kumbe basi nawe hujaelewa mada nzima, hujaelewa mleta mada anachozungumza, utakuaje na wasiwasi na dereva wakati dereva ndiyo katumia akili yake ya ziada kuokoa roho ya lissu soma utaelewa, ili uchangie vizuri rather jump into conclusions and finalizing
 


RIP Sokoine Moringe, RIP ..................
 

haya
 

Huko kutext na klupiga simu ndiko kupanic
 
Dereva wa Tundu Lissu amefuzu, sio kuhitimu. Alikuwa anatembea na "escaping velocity" huifuati vx ile hata kwa sekunde tatu!
 
Kwa kweli pamoja na masikitiko niliyonayo kwa Mbunge na Rais wa mwanasheria Lisu umenifanya nicheke jinsi ulivyotumia akili kwamba atakua na fafafafa ya kidato cha 4 tu bila shaka nimekupata vizuri .

Ila pamoja na hayo wangetakiwa watembee na silaha hili lingeweza kusaidia kuonyesha ni jinsi gani hawa walifeli form four maana angewateketeza kwa kuvunja miguu ukianguka ya kichwa. Angewahi ili GMG mambo yangekua kama kwenye movie.
 
Zero Form Four ....sitaisahaui Ijumaa ya tarehe 15/September/2017 mjini Moshi nilishughudia uwepo wa "wasiojulikana"eneo la FRESH HOTEL MJINI MOSHI na mbwembwe zao.
VERY SAD INDEED!
 
Mke asingek.ua na msaada na polisi wangetaarifiwa yawezekana waka wasingefika kwa haraka ili adhma ya wauaji ifanikiwe kwasababu inasemekana ni hitmen.
 
Kwa nchi yetu haya mumbo ndo yanaanza, hawana uzoefu, subirini wapate uzoefu, wasiwasi wangu hwana uzoefu wa mauaji ya namna hii
 
Sasa waliogopa nini kutoka nje ya gari na kukaa kwa dk20 kama hawakuwa na fikra kama hizo?
Yaani unataka kila alipokua anawahisi asishuke,mbona St.Peter's kule Dar alishuka japo alijua anafuatiliwa,siyo kila sehemu ni pa kushuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…