Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Anasema aliwahi kunywa nao Rose garden,huyu dereva ndio wa kumng'ang'ania atatoa tu muelekeo badala yake tunamuacha tunasoma albadiri
Atatoa ushirikiano lakini je polisi watatoa ripoti stahki endapo watakutana na majibu ya Eagles kua sisi ndiyo tulihusika kwahiyo ipotezeeni na mnatakiwa kujua kua tunafanya ulinzi wa raia na mali zao kwakushirikiana.
 
Daaa naona unaongea kwa mafumbo sana...ila wenye akili watakuelewa
 

I salute You Comrade. Well analysed.
 
Unapiga simu kwa mke ili naye atoke nje ya nyumba akutane na Smg ale shaba au?
 
Wewe jamaa ni Kilaza wa kiwango cha Rami!
 
Msisahau kuwa maisha ya Mtu, pamoja na mauti ya Mtu, mwenye maamuzi ya mwisho ni MUNGU aliye juu. Mkono wa aishiye milele ndiyo uliomwokoa Antipas. May GOD bless and heal Antipas, amen, amen, amen.
 
Yaani unataka kila alipokua anawahisi asishuke,mbona St.Peter's kule Dar alishuka japo alijua anafuatiliwa,siyo kila sehemu ni pa kushuka tu.
Umenielewa vizuri mkuu?
 
..CCM walipaswa kutumia SUICIDE BOMBER.

..hapo ndiyo unakuwa na uhakika 90%, unless detonator failure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na wabongo wanavyoogopa kufa hiyo lazima ingevuja[emoji38]
 
Kama walikaa dk 20 means walikuwa wakisubiri ashuke wamtungue
 
Nimekudharau Sana Mkuu, text ingesaidia nini? Au kwa akili yako unafikiri ukiwa ktk mazingira ya hivyo akili inakua kawaida? Kuwekwa kwenye target ya kuuliwa sio sawa na kuwekwa katikati ya miguu ya mwanamke kwamba ukishakojoa unaweza kuanza kuplan umpigie nani.

Amtext ili iwaje? Ikiwa alitoa mpaka namba za gari mkauchuna, sembuse text.. Hebu acha ulemutuz bana.
 
Umeandika vizuri sana japo najua kwa uelewa ulionyesha 'wasiojulikana' wanakuona kama asiyestahili hata rank ya umesenja kwenye mikakati yao ovu. Kikubwa ni kwamba huo ndio mwisho wao wa kufikiri na kutenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…