Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

He was smart than you cant compare. Baada ya kushuka na kujificha, alijua kuwa reaction yake yoyote ingemaliza mchezo vibaya sana. Na probably aliwaona kuwa wako well equipped, katika hali kamahiyo ni bora ukawa cool ili upepo mbaya upite. Na hiyo ndio salama yao.
 
Katika hali kama ile, huna muda wa kufikiria unayoyasema. UNafikiria ni jinsi gani ya kujiponya. Meseji na simu hupoteza muda wa kufikiria njia sahii ya kujiponya. Ni kama vile unakesi kuuuuuuuuuuuuuuuubwa mahakamani, wewe unakimbilia kwa mganga wa kienyeji badala ya kufikiria ni jinsi gani utakavyoweza kupambana na mashanidi wa upande wapili.
 
atakuwa bashiit ndo alikuwa shooter
 
hapana mkuu tuende mbele turud nyuma mie sina imani kbs na dereva wa tundu toka siku ya kwanza !pesa ilimuua YESU kumbuka mkuu !ukimsoma utamwelewa amewadharau tu ! ni mtu makini mtoa mada
Jicho linaloona sana kwenye uchunguzi ni JICHO la tatu. Bila hilo huwezi ona chochote kuhusiana na Crimes. Na ni wachache sana duniani hubarikiwa na ,,Jicho,, hilo.
 
Nadhani Pia Lisu na dereva wake baada ya kugundua kuna magari yamefunga barabara pande zote basi hawakuwa na ujanja zaidi ya kusubiri kwenye gari tu.manake kama Lisu angeshuka ndio ndio ingekuwa mauti yake.Walisha mbana vizuri.kwamba hata kama dereva angewasha gari na kujaribu,wale walioziba barabara pande zote wangewamaliza tu tena wangekuwa na clear view ya kioo cha mbele
 
Ila tukio la Lisu litawasaidia wabunge wengine kutokufuatiliwa "atleast kwa muda fulani" manake wasiojulikana hawataweza kuendeleza missions zao.Ni kama Lisu amejitoa Mhanga ili kumaliza hili tatizo.
 
Mimi mgeni duniani.... Maana duh..... Ni hatari sana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duuuu umeeleza jambo ambalo sikufahamu mazingira yaliyotekea tukio. Kweli yuko vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…